UCHAMBUZI WA ALLY MAYAY SIMBA HAWANA WA KUMBEBESHA LAWAMA, WATOLEWA NA ORLANDO KWA GOLI LA OFF SIDE by @Millard Ayo - Post Details

UCHAMBUZI WA ALLY MAYAY SIMBA HAWANA WA KUMBEBESHA LAWAMA, WATOLEWA NA ORLANDO KWA GOLI LA OFF SIDE

Simba SC jana wameondolewa katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya penati 4-0 dhidi ya Orlando Pirates, dakika 90 zilimalizika kwa Simba SC kufungwa goli 1-0 lakini aggregate ikawa 1-1 hive miwaju ya penati ikaamua ushindi, uchambuzi ulieleza kuwa goli alilofungwa Simba SC lilikuwa ni off side.

Similar Posts!

ALLY KAMWE ALIVUJISHA HII YA MWALIMU ILA HATUKUMZINGATIA KABISA
ALLY KAMWE ALIVUJISHA HII YA MWALIMU ILA HATUKUMZINGATIA KABISA

Yanga SC imewashangaza mashabiki wa soka Leo baada ya kutangaza kukamilisha usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco Selemani Mwalimu. Mwalimu msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Simba SC akitokea Wydad, hata msimu huu 2026/27 Jumamosi ya Agosti 8 2026 kwenye Simba Day alitambulishwa tena kuwa atakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu mwingine wa mkopo. Haileweki nini kimetokea na kama Yanga SC wamemsajili Moja kwa Moja au kwa mkopo ila Agosti 4 Afisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe alitamba kuwa "Wanafanya nae mazoezi lakini mchezaji wetu" wakati huo Mwalimu alikuwa Kigali Rwanda na Simba SC wakijiandaa na msimu mpya.



LIVE: SIMBA DAY, NYOMI LA WANASIMBA UWANJA WA UHURU
LIVE: SIMBA DAY, NYOMI LA WANASIMBA UWANJA WA UHURU

Tazama MBASHARA shamrashamra za madhimisho ya miaka 90 SIMBA DAY