#MatokeoYaMechi #HighlightsZaMechi #UchambuziWaMpira #TransferNewsTanzania #BreakingNewsMpira #Yanga #YangaSC #YangaLeo #YangaNews #KikosiChaYanga #UsajiliWaYanga #YangaCAF #Simba #SimbaSC #SimbaLeo #SimbaNews #KikosiChaSimba #UsajiliWaSimba #SimbaCAF #AzamFC #AzamNews #CAFChampionsLeague #CAFCL #CAFConfederationCup #AFCON #TanzaniaFootball #MechiLeo #UtabiriWaMechi #MjadalaWaSoka #DerbyYaKariakoo #NBCPremierLeague #SokaAfrica #SportsNewsT #DerbyYaKariakoo #Yanga #YangaSC #YangaLeo #YangaNews #KikosiChaYanga #UsajiliWaYanga #YangaCAF #NguvuMoja #Wananchi #DaimaMbele #Simba #SimbaSC #SimbaLeo #SimbaNews #KikosiChaSimba #UsajiliWaSimba #SimbaCAF #Mnyama #NguvuMojaSimba #AzamFC #AzamNews #AzamLeo #KikosiChaAzam #UsajiliWaAzam #CAFCL #CAFChampionsLeague #CAFConfederationCup #AFCON #SokaAfrica #FootballAfrica #NBCPremierLeague #LigiKuuBara #MapambanoYaSoka #MjadalaWaSoka #UtabiriWaMechi #RatibaYaMechi #TakwimuZaMpira #MagoliLeo #GoliLaWiki #BestGoals #CleanSheet #Penalty #FreeKick #CornerKick #Offside #VAR #RefereeTZ #StadiumTZ #UwanjaWaMkapa
KUTOKA CAIRO MISRI: " ....msimu huu tunahitaji kuwapiku Yanga" Baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Wadi Degla FC inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo, Kocha wa Simba, Fadlu davids anaeleza baadhi ya mambo ambayo ameridhika nayo, na maeneo ambayo bado ana kazi ya kufanya.... Kuhusu kikosi chake, Kocha Fadlu anasema bado wanahitaji angalau mchezaji mmoja mwenye kitu cha ziada (X-Factor) atakayewaongezea kitu hasa kwenye michuano ya kimataifa pamoja na mbio za ubingwa wa #NBCPremierLeague msimu ujao wakilenga kuwa juu ya Yanga ... Fadlu anasema anaamini mdhamini wao upande wa jezi, 'Jayruty', atalimaliza hilo.... Naye mfungaji wa moja kati ya magoli mawili ya Simba, Kibu Denis anazungumza machache kuhusu maendeleo ya kambi nchini Misri.... Patrick Nyembera anakuja na taarifa kamli kuhusu mchezo huo... #SimbaSC #SimbaEgypt #SimbaPreSeason
Goli pekee la mkwaju wa penati dakika za nyongeza limeipa Simba alama tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Mfungaji wa goli ni Jean Charles Ahoua....
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba SC. Simba imeshinda kwa goli 1-0 na mfungaji ni Leonel Ateba.
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku alitolewa Uwanja wa Ndege kininja. Aziz KI, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumziko nchini kwao kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3. Alichofanya Azizi Ki, kwanza akamtanguliza mfanyakazi mmoja wa Uwanja wa Ndege kutangulia mbele na mabegi yake makubwa sita aliyotua nayo. Hatua ya pili ikawa Ofisa mmoja wa Yanga Godlisten Anderson 'Chicharito' aliyekuja kumpokea uwanjani hapo kumpenyezea kofia maarufu kwa jina la kepu, ambayo kiungo huyo ilipomfikia akatoka akiwa ameishusha kijanja mithili ya mtu asiyetaka kujulikana. Hatua ya tatu akatoka akiwa peke yake huku Ofisa huyo wa Yanga akitangulia mbele wakiachana kwa hatua sita na kiungo huyo kisha kupanda kwenye gari moja aina ya Toyota Alphard iliyotoka uwanjani hapo kwa kasi. Hatua ya nne mara baada ya kufika nje ya uwanja wa Ndege kiungo huyo akakuta gari nyingine aina ya Toyota Harrier ikimsubiri kisha kupanda humo huku ile Alphard ikiondoka na mabegi yake pekee. Ujio wa Azizi Ki ambaye ndiye mfungaji Bora wa Ligi msimu uliopita akimaliza na mabao 21 utawashusha presha mashabiki wa Yanga ambao wanadhani anaweza kuondoka. Yanga bado haijatangaza kwamba Azizi Ki ameongeza mkataba lakini Mwananchi linafahamu kwamba kiungo huyo raia wa Burkina Faso bado ataendelea kuitumikia timu hiyo kufuatia kukubaliana na mabosi wa timu hiyo kwamba atasalia. Pia, kupitia mitandao ya kijamii ya Yanga imetangaza kuwa staa huyo atazungumza mchana wa leo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa Mapinduzi Cup 2024 kati ya Chipukizi United dhidi ya Azam FC. Azam FC imeshinda goli 1-0 Mfungaji wa goli ni Alassane Diao.
🔴 Breaking:TFF watoa Tamko zito baada ya Refa kukataa Goli la Yanga na Penalti za makosa za Simba, 🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Yanga Fainali Ngao ya Jamii (P'3-1) "Makolo wamebebwa" Goli la kwanza la Mzize Yanga Sc vs Azam Fc (1-0) | Fainali Ngao ya Jamii | Highlights 🔴Live:Yanga Sc vs Simba Sc | Fainali Ngao ya Jamii/Community Shield (DARBY) Magoli yote, Azam Fc vs Singida Big Stars (2-0) | Ngao ya Jamii mshindi wa Tatu | Highlights 🔴Live:Singida Fountain Gate vs Azam Fc | Fainali Ngao Ya Jamii | Community Shield Final (03) 🔴KIPYENGA CHA MWISHO :Osman Kazi Alivyotoa Utata! Goli la Singida lilokataliwa dhidi ya Simba,(4-2)! Breaking:TFF watoa Tamko Zito baada ya Mwamuzi Amina Kiando kuwanyima Goli Singida dhidi ya Simba Goli lilokataliwa, Simba Sc vs Singida Fountain gate (0-1) |Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii Goli la kwanza la Kibu Denis Simba Sc vs Singida Fountain gate (1-0) |Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii 🔴Live:Simba Sc vs Singida Fountain gate | Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii | Community Shield 🔴Live:Robertinho Atangaza kikosi cha Kwanza cha Simba dhidi ya Singida Fountain gate, Ngao Ya Jamii 🔴LIVE:Yanga vs Azam Fc | Nusu Fainali ya Kombe la Ngao Ya Jamii| Community Shield Semi Final, 🔴Kocha GAMONDI Atangaza kikosi cha Kwanza kwa mara ya Kwanza YANGA dhidi ya AZAM Ngao ya Jamii Leo Yanga Sc vs JKU (0-0) | kosa kosa za timu zote ,Mechi ya Kirafiki | Highlights 🔴YANGA kufanya Surprise hii Siku ya SIMBA DAY, UTAMBULISHO WA SIMON MSUVA ni balaa wamuopoa UARABUNI Magoli yote Yanga Sc vs Dar Magereza Fc (10-0), Musonda Kama Mayele | Mechi ya kirafiki |Highlights 🔴YANGA watikisa Utambulisho wa USAJILI wa MAKABI LILEPO kutoka AL HILAL ya SUDAN ni balaa...!!! 🔴YANGA! Wamaliza usajili na Jembe la Maana mwili jumba Mrithi wa MAYELE toka CAMEROON,DIKONGUE MAHOP 🔴Live:Mapokezi ya Mshambuliaji Mpya wa YANGA SC mrithi wa MAYELE EMMANUEL MAHOP kutoka CAMEROON..!!! 🔴CAF watangaza Ratiba Kamili ya Ligi ya Mabingwa CAFCL na Kombela Shirikisho Afrika, Simba na Yanga! 🔴YANGA! Wamaliza usajili na Jembe la Maana mwili jumba Mrithi wa MAYELE toka CAMEROON,DIKONGUE MAHOP 🔴YANGA Wamtambulisha mshambuliaji hatari kutoka CAMEROON EMMANUEL MAHOP, Mfungaji bora msimu huu!! 🔴YANGA WANA JAMBO KUBWA kuliko LEO ZOUZOUA PACOME MVP wa ASEC MIMOSAS atua Jangwani...!!! 🔴Live:UTAMBULISHO wa YANGA JAMBO KUBWA kuliko Aliesubiliwa Kafika ZOUZOUA PACOME MVP wa ASEC MIMOSAS 🔴Breaking:YANGA wamsajili MAKABI LILEPO mchezaji hatari kutoka AL HILAL ya SUDAN Raia wa DR CONGO YANGA wamsajili mshambuliaji wa FC LUPOPO ya DR CONGO GEORGE MPOLE azua balaa,mashabiki wachachawa 🔴Live:CHUMA kipya kimetua Usiku usiku YANGA Wamtambulisha mchezaji Aliekuwa GUMZO NAMBA(06) Huyu Hap 🔴YANGA! Washusha mshambuliaji hatari kutoka MALAYSIA mrithi wa MAYELE,Atua bongo tazama,SUDI ABDALAH 🔴YANGA washusha mashine Striker la mabao Mrithi wa Mayele kutoka MALAYSIA SUDI ABDALLAH, KUCHING FC 🔴YANGA wamtambulisha Mshambuliaji hatari wa Pembeni MAXI MPIA MBAPPE wa CONGO kutoka MANIEMA UNION 🚨YANGA wamsajili Mshambuliaji hatari wa Pembeni MAXI MPIA MBAPPE wa CONGO kutoka MANIEMA UNION 🚨HUWEZI AMINI! YANGA wamsajili CLOUTUS CHAMA wa SIMBA kuvaa jezi NO (06)Vita hii Ni balaa,Imebainika 🚨HAWATAAMINI! YANGA SC Wanasema kaa tayari UTAMBULISHO wa NKUKU MAHLATSI MAKUDUBELA Nibalaa!!! 🔴YANGA SC wamtambulisha JONAS MKUDE! Alietoka SIMBA SC vita ya watani mapya yaibuka Leo..!! 🔴YANGA wamtambulisha mchezaji mpya kutoka MALUMO GALLANT ya Afrika ya Kusini SKUDU MAKUDUBA...!!! 🔴Breaking:YANGA SC wang'atana kutoa THANK YOU kwa mshambuliaji Hatari FISTON MAYELE,kisa OFA ya Bil2 🔴YANGA wamtambulisha Kiungo hatari,huwezi amini ZOUGRANA MO kutoka Cot'e Dvoir atua Jangwani 🔴YANGA wampokea mchezaji mpya usiku huu akitokea IVORY COAST,NAMBA 6 anaetajwa! MO ZOUGRANA ni balaa 🔴YANGA wameamua sasa vita ni vita Wamsajili JEAN BALEKE aliekuwa SIMBA kwa mkopo kutoka TP MAZEMBE! Breaking:YANGA waitikisa SIMBA,Siri Tena Wamsajili JEAN OTHOS BALEKE toka TP MAZEMBE,Ulikua Mkopo🤗 🔴YANGA watangaza wachezaji hatari (8) Walio SAJILIWA na Wachezaji(8) WANAOTEMWA,DIRISHA KUBWA,BALEK🤗 🔴Live:Usiku Usiku Chuma Kimetua 🤗 YANGA washusha machine mpya hatarii sana muda huu,anatoka DR CONGO 🔴Breaking:Nihuzuni😢 MAYELE Ashindwana na YANGA agoma kusaini Mkataba Mpya!" AONDOKA? " Viongozi wote 🔴Live:UTAMBULISHO! YANGA wakamilisha usajili Wa MPIA NZENGELI kutoka MADEANA UNION ya DR CONGO,Balaa 🔴Live:UTAMBULISHO wa mchezaji YANGA MUDA HUU, MAXI NZENGELI kutoka CONGO ni balaa! Kusimamisha Nchi 🔴YANGA Leo kumtambulisha MAXI NZENGELI naodha wa MANIEMA UNION ya DRC CONGO MAXI NZENGELI ni balaa!! #yangasc #Simbasc #ngaoyajamii #Cafcl #nbcpl #Asfc #nbcpl #ClubAfricain #cafcc #alhilal #MtibwasugarFc #MbeyaCity #Nbcpl#YangaSc #NbcPl #CAFCL #Cafcc #Cafcl #Fifa #GSM #Manara #GlobalTv #JwanengGalaxy #AzamTv #Azamsports #MpenjaTv #Bongo1Media #WasafiTv #SportsArena #WinnerMedia #HashimOnlineTv #KibweOnlineMedia