Simba SC 1-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 24/12/2024
Goli pekee la mkwaju wa penati dakika za nyongeza limeipa Simba alama tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.
Mfungaji wa goli ni Jean Charles Ahoua....