Chipukizi United 0-1 Azam FC | Highlights | Mapinduzi Cup 2024 - 30/12/2023
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa Mapinduzi Cup 2024 kati ya Chipukizi United dhidi ya Azam FC.
Azam FC imeshinda goli 1-0
Mfungaji wa goli ni Alassane Diao.