KOCHA SIMBA Akomalia Kuchezesha MASTRAIKA Watatu- SIMBA VS MWADUI FC
KOCHA SIMBA Akomalia Kuchezesha MASTRAIKA Watatu- SIMBA VS MWADUI FC

KOCHA SIMBA Akomalia Kuchezesha MASTRAIKA Watatu Kocha wa Simba ametoa maoni yake kuhusiana na mchezo wake na mwadui uliomalizika kwa simba kuibuka na ushindi wa magoli 2 dhidi ya moja la mwadui. Akizungumzia mchezo huo Kocha huyo amedai kuwa mfumo wa kutumia mashambuliaji watatu ndio uliosaidia simba kuondoka na ushindi. Bao pekee la kuweka mzani kwa Simba lilifungwa na Clatous Chama akiwa nje ya 18 dakika ya 45+2 Simba inatinga hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho na Mwadui FC inafungasha virago jumla. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?li



SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa!
SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa!

SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa! LEO ni siku nzuri ya burudani hasa kwa wapenda mpira hasa baada ya kutua nchini kwa kikosi maarufu nchini Hispania na barani Ulaya cha Sevilla. Sevilla wako nchini kuivaa Simba na ziara yao imedhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubeti ya SportPesa ambayo hii ni mara ya pili inaleta timu kubwa na maarufu baada ya Everton FC. Watanzania wapenda soka watarajie burudani ya soka la kuvutia na Simba watalazimika kujipanga na vizuri wakijiachia ili kucheza soka la uhakika linaloweza kuwafanya Sevilla kujiuliza. Hata hivyo, ubora wa Sevilla uko juu, hawa ni mabingwa mara tano Europa League lakini hii haitawazuia wao kutofungwa kama Simba watajipanga vizuri. Hata hivyo, kocha mkuu wa Sevilla ni mmoja wa makocha watundu, anajiamini hakika anatumia mfumo mmoja anaoubadilika mara kwa mara. Kocha Mkuu Joaquín Caparrós aliwahi kuifundisha Sevilla mwaka 2000 hadi 2005 kabla ya kujiunga na Deportivo la Coruna ya Kaskazini Magharibi mwa Hispania. Lakini baadaye alizifundisha timu kadhaa katika La Liga kama Athletic Bilbao, Mallorca, Granada na Osasuna kabla ya kuhamia nchini Qatar na kuanza kuinoa A Ahli kwa mwaka mmoja kabla ya kurejea tena Hispania na kuwa kocha wa muda wa Sevilla ambayo baadaye alikabidhiwa mikoba. #SIMBAVsSEVILLA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA
'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA

'MAHAKAMA' DAKIKA 7 Zamponza Mwamuzi SIMBA VS JKT TANZANIA MASHABIKI wa soka nchini wanaweza wakawa chanzo kikubwa sana cha kudidimia kwa mpira kama wataendelea na mfumo walionao sasa ambao unaendeshwa na "kulaumu tu." Hakika inashangaza sana kuwaona mashabiki wa soka kila siku wakiwa wanalaumu kwa kila jambo linalotokea katika mpira na kuufanya ndio kuwa ushabiki hasa wa mpira. Inawezekana ndani ya mpira wenyewe, mashabiki hawajui kwa nini wanashabikia na wengi wamekuwa hivyo ingawa inakuwa vigumu pia kwao kujua kama hawajitambui. Mfano, mmoja akiwa shabiki wa Yanga anaonekana ni adui anapokuwa na mashabiki wa Simba. Au anayeishabikia Simba anapaswa kutopendwa na mashabiki wa Yanga, jambo ambalo ni ajabu sana. Vipi watu wote wanaweza kuishabikia Yanga tu, au Simba tu! Lakini utakuwa vipi Yanga wasiwepo Simba? Utacheka na nani, utashindana na nani na nini maana ya ushabiki? Kuna haja ya kujifunza na kujua au kujiuliza kwa nini wewe ni shabiki? Kama unapenda kufurahi na kuheshimiwa, lazima uje kwamba na wengine wanastahili kupata kama hicho chako. Kilichonigusa hadi kuingi a mtaanai ya kuongea na mashabiki wa sokani jambo la dakika, ni baada ya Simba kushinda bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. Bao la Simba lilifungwa na Hassan Dilunga mwishoni mwa dakika saba za nyongeza. #MAHAKAMAYAWANANCHI www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



TOP 11: Wachezaji 11 wanaounda kikosi kimoja baada ya Mechi ya Simba vs Tp Mazembe.
TOP 11: Wachezaji 11 wanaounda kikosi kimoja baada ya Mechi ya Simba vs Tp Mazembe.

Simba imetoka sare dhidi ya TP Mazembe katika mechi ya kwanza katika uwanja wa Taifa DSM. SOCCERDATA inakuletea kikosi ya cha MUUNGANIKO baada ya Mechi kutokana na viwango walivyo vionyesha katika mechi hiyo ya kwanza.. Toa maoni yako juu ya kikosi hicho. Pili pendekeza nani awe kocha kati ya Pamphile Kazembe wa TP Mazembe na Patrick Aussems wa Simba. Lakini mfumo wa 4- 4 -2



Huu hapa Mfumo Mpya wa Simba Kuwafunga AS Vita Club
Huu hapa Mfumo Mpya wa Simba Kuwafunga AS Vita Club

SUBSCRIBE HAPA https://www.youtube.com/channel/UC_m6Lmu4NexLFzafJH5InYA?view_as=subscriber tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



KOCHA Simba Aeleza mfumo Wake/ Amtaja Salamba
KOCHA Simba Aeleza mfumo Wake/ Amtaja Salamba

#SIMBAVSALLIANCE #PATRICKAUSSEMS KOCHA Simba Aeleza mfumo Wake/ Amtaja Salamba MECHI ya Simba dhidi ya Alliance FC imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wafungaji wa Simba ni Okwi dakika ya 10 na 63, Kwasi dakika ya 30, Salamba dakika ya 70 na Chama dakika ya 88. na bao la Alliance FC limefungwa na Khamis 90+4. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Waziri Mwakyembe aimwagia sifa Azam FC; Asema ni Kiwanda cha Soka Tanzania
Waziri Mwakyembe aimwagia sifa Azam FC; Asema ni Kiwanda cha Soka Tanzania

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwankyembe, leo alifanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Azam FC ‘Azam Complex’ na kukiri kuwa timu hiyo ni kiwanda cha soka nchini. Ziara hiyo ya Mwakyembe ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya kuangalia Azam FC ilipofikia kwenye uboreshaji wa uwanja huo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) zitakazofanyika nchini mwakani. Uwanja wa Azam Complex ni miongoni mwa viwanja vitatu nchini vilivyoteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa kushirikiana na la hapa nchini (TFF), vingine viwili vikiwa ni Uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru. Kigogo huyo aliambatana na Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo Taifa (BMT), Alex Nkeyenge na Mkurugenzi wa Mashindano TFF, Salum Madadi, ambao walikaribishwa na wenyeji wao akiwemo Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi, Nassor Idrissa ‘Father’, Makamu Mwenyekiti Omary Kuwe, Meneja wa timu, Philllip Alando. Akitoa neno kwenye ziara hiyo, Waziri Mwakyembe, aliupongeza uongozi wa Azam FC kwa kazi kubwa waliyofanya kwenye kuboresha uwanja huo kwa ajili ya fainali hizo ambazo zitafanyika kwa mara ya kwanza nchini. “Kwa kweli ni mara yangu ya kwanza kutembelea Azam Complex na nimejiridhisha mwenyewe kwamba hiki ni kiwanda cha soka, kiwanda cha michezo kuna kila kitu hapa na tukifikia hatua ambayo pengine timu zetu zenye sura ya Kitaifa hata zikawa tatu, nne, tano zikawa na mfumo ulioko hapa Azam Complex tayari sisi Tanzania tumeshakuwa nchi ya soka. “Na nadhani tutaanza kuuza wachezaji wengi sana duniani ambao pia watachangia sana katika pato la Taifa maana wenzetu wengi kama nchi ya Brazil inaendeshwa na pesa kama hiyo, Azam hongereni sana mmefanya kazi kubwa sana,” alisema.




« Previous Next »


Popular Tags

#Cleveland Cavaliers  #Derrick Rose  #Goal Celebrations  #Lionel Messi  #Franck Ribery  #Russell Westbrook  #Ronaldinho  #Michael Jordan  #Manuel Neuer  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#realDonaldTrump  #SrBachchan  #TheEllenShow  #JLo  #IAmJericho  #normmacdonald  #RobbieSavage8  #lindseyvonn  #wizkhalifa  #Kaepernick7  #espn  #oldhossradbourn  #CNN