SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa! by @Global TV Online - Post Details

SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa!

SIMBA Vs SEVIILA - KIKOSI cha SIMBA Kilivyowasili UWANJANI Taifa! LEO ni siku nzuri ya burudani hasa kwa wapenda mpira hasa baada ya kutua nchini kwa kikosi maarufu nchini Hispania na barani Ulaya cha Sevilla. Sevilla wako nchini kuivaa Simba na ziara yao imedhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubeti ya SportPesa ambayo hii ni mara ya pili inaleta timu kubwa na maarufu baada ya Everton FC. Watanzania wapenda soka watarajie burudani ya soka la kuvutia na Simba watalazimika kujipanga na vizuri wakijiachia ili kucheza soka la uhakika linaloweza kuwafanya Sevilla kujiuliza. Hata hivyo, ubora wa Sevilla uko juu, hawa ni mabingwa mara tano Europa League lakini hii haitawazuia wao kutofungwa kama Simba watajipanga vizuri. Hata hivyo, kocha mkuu wa Sevilla ni mmoja wa makocha watundu, anajiamini hakika anatumia mfumo mmoja anaoubadilika mara kwa mara. Kocha Mkuu Joaquín Caparrós aliwahi kuifundisha Sevilla mwaka 2000 hadi 2005 kabla ya kujiunga na Deportivo la Coruna ya Kaskazini Magharibi mwa Hispania. Lakini baadaye alizifundisha timu kadhaa katika La Liga kama Athletic Bilbao, Mallorca, Granada na Osasuna kabla ya kuhamia nchini Qatar na kuanza kuinoa A Ahli kwa mwaka mmoja kabla ya kurejea tena Hispania na kuwa kocha wa muda wa Sevilla ambayo baadaye alikabidhiwa mikoba. #SIMBAVsSEVILLA Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Similar Posts!

"USAJILI wa SIMBA UTATIKISA NCHI" - AHMED ALLY AIBUKA KUTOKA MAFICHONI -ATOA za NDANI za WACHEZAJI 2
"USAJILI wa SIMBA UTATIKISA NCHI" - AHMED ALLY AIBUKA KUTOKA MAFICHONI -ATOA za NDANI za WACHEZAJI 2

"USAJILI wa SIMBA UTATIKISA NCHI" - AHMED ALLY AIBUKA KUTOKA MAFICHONI -ATOA za NDANI za WACHEZAJI 2... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI...
MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI...

MAZISHI ya JOTA YAACHA SIMANZI KWAO - RONALDO AACHA MASWALI KUSHINDWA KUFIKA MAZIKONI... Mazishi ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, yamefanyika leo katika mji wake wa kuzaliwa wa Gondomar, nchini Ureno, ambapo mamia ya waombolezaji, wakiwemo familia na marafiki wa karibu, walikusanyika kumuaga pamoja na kaka yake, André Silva, waliofariki katika ajali mbaya ya gari siku ya Alhamisi, Julai 3, 2025. Mke wa Jota, Rute Cardoso, mwenye umri wa miaka 28, alionekana akitokwa na machozi huku akitembea taratibu nyuma ya jeneza la mumewe, akiwa amevaa mavazi meupe na kushikilia waridi la rangi ya krimu. Jota ameacha watoto watatu — wavulana wawili na binti mmoja. Baadhi ya waombolezaji walionekana wakisaidiwa na wenzao kutokana na mshtuko na majonzi makubwa yaliyowakumba. Majeneza ya Diogo Jota na kaka yake André yalipelekwa kwa huzuni kubwa hadi ndani ya kanisa lililoko Gondomar. Ni watu wa familia na marafiki wa karibu pekee walioruhusiwa kuingia ndani ya kanisa hilo, lakini misa ya mazishi ilipeperushwa moja kwa moja kupitia spika kwa maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamejipanga nje kuonyesha heshima zao za mwisho. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#Live: PAREDI ya YANGA YAFUNGA BARABARA DAR - BASI LENYE WACHEZAJI LINASINDIKIZWA na MASHABIKI....
🔴#Live: PAREDI ya YANGA YAFUNGA BARABARA DAR - BASI LENYE WACHEZAJI LINASINDIKIZWA na MASHABIKI....

🔴#Live: PAREDI ya YANGA YAFUNGA BARABARA DAR - BASI LENYE WACHEZAJI LINASINDIKIZWA na MASHABIKI.... SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 https://bit.ly/3MraYdQ ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



MNANDI wa SIMBA - ''GOMENI MOJA KWA MOJA - MMELETA TIMU ya NINI? MBONA PRESS MLIGOMEA''...
MNANDI wa SIMBA - ''GOMENI MOJA KWA MOJA - MMELETA TIMU ya NINI? MBONA PRESS MLIGOMEA''...

MNANDI wa SIMBA - ''GOMENI MOJA KWA MOJA - MMELETA TIMU ya NINI? MBONA PRESS MLIGOMEA''... ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



JERRY MURO: SHERIA ZINASEMA BERKANE NI WASHINDI- KUTOKA MIOYONI MWETU TUNASEMA SIMBA NDIYE MSHINDI..
JERRY MURO: SHERIA ZINASEMA BERKANE NI WASHINDI- KUTOKA MIOYONI MWETU TUNASEMA SIMBA NDIYE MSHINDI..

JERRY MURO: SHERIA ZINASEMA BERKANE NI WASHINDI- KUTOKA MIOYONI MWETU TUNASEMA SIMBA NDIYE MSHINDI.. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx