Tanzania Prisons 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/10/2022
Tanzania Prisons 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/10/2022

Magoli mawili kutoka kwa Jeremiah Juma dakika ya 5 na Samson Mbangula dakika ya 45 yameipa Tanzania Prisons ushindi wa ...

Magoli | Tanzania Prisons 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 25/10/2022
Magoli | Tanzania Prisons 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 25/10/2022

Magoli mawili kutoka kwa Jeremiah Juma dakika ya 5 na Samson Mbangula dakika ya 45 yameipa Tanzania Prisons ushindi wa ...

Magoli Yanga SC ikiichabanga Tanzania Prisons 1-2 | NBC Premier League
Magoli Yanga SC ikiichabanga Tanzania Prisons 1-2 | NBC Premier League

Tazama magoli yote wakati Yanga SC ikibeba alama tatu za NBC Premier League kwenye mchezo uliomalizika kwa ushindi wa mabao 1-2 dimbani Nelson Mandela. Samsong Mbangula akaifungia Prisons. Feisal Salum na Khalid Aucho wakaifungia Yanga SC

Tanzania Prisons 1-0 JKT Tanzania | Goli la Samson Mbangula | VPL 14/03/2021
Tanzania Prisons 1-0 JKT Tanzania | Goli la Samson Mbangula | VPL 14/03/2021

Tazama goli pekee la Samson Mbangula lililowapa Tanzania Prisons ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC  - VPL 22/10/2020
Highlights | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC - VPL 22/10/2020

Mabingwa watetezi Simba SC wamepigwa 1-0 na Tanzania Prisons mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Goli pekee la Wajelajela hao limefungwa na Samson Mbangula dakika ya 49. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Prisons 'likiichinja' Simba 1-0 Sumbawanga - VPL 22/10/2020

MATOKEO MECHI ZA LEO #VPL 22 November 2019
MATOKEO MECHI ZA LEO #VPL 22 November 2019

MATOKEO MECHI ZA LEO #VPL MATOKEO: Mechi zote sita za leo ambapo Coastal Union imefanikiwa kuvunja rekodi ya Namungo FC ya kutopoteza mchezo nyumbani katika msimu huu wa ligi. FT: Yanga 3-2 JKT Tanzania (Sibomana 11’, Balinya 22’, Molinga 35’ : Adam 13’, Lyanga 45’+2) FT: Alliance 2-1 KMC (Geofrey Luseke 15’, David Richard 30’ : Geofrey Luseke 77’ OG) FT: Namungo 1-3 Coasta Union (Reliants Lusajo 16’ : Mtenje Albano 15’, Deogratius Anthony 76’, Paul Bukaba 90’+4 OG) FT: Kagera Sugar 2-1 Lipuli FC (Yusuph Mhilu 10’, Nassoro Kapama 64’ : Paul Nonga 85’) FT: Ndanda 0-2 Polisi Tanzania (Andrew Chamungu 11’, Idd Mobby 83’) FT: TZ Prisons 1-1 Mwadui FC (Samson Mbangula 83’ : Raphael Aroba 70’) #AzamSports2 #AzamSportsHD #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL

« Previous

Popular Tags

#Manuel Neuer  #Paul George  #Football Defensive Skills  #Cristiano Ronaldo  #Zlatan Ibrahimovi  #Counter Attack Goals Football  #David Silva  #Zlatan Ibrahimovi  #Stephen Curry  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#CMPunk  #Cristiano  #JayBilas  #richarddeitsch  #RobGronkowski  #Harry_Styles  #Buster_ESPN  #realmadrid  #GNev2  #TheCUTCH22  #billsimmons  #darrenrovell  #BarackObama  #shakira  #Joey7Barton