DAR DERBY: Yanga SC imeangukia pua kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam FC, katika #DarDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga imetangulia kupata bao kupitia kwa Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Azam kuchomoa dakika ya 19 kwa goli la Gibril Sillah na kisha Feisal Salum akafunga la ushindi dakika ya 51.
Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86.
Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86. Haya hapa magoli yote matano....
MAREKEBISHO Bao la kwanza lililofungwa na Mudathir assist ni kutoka kwa Aziz Ki na siyo Yao-Yao. By Mhariri MBWADUKE STATS "Spoti Next Level" Kocha Gamondi wa Yanga kweli kimbinu yuko vizuri sana...ni Tactical Master. Baada ya kuwakosa nyota wake kadhaa wa kikosi cha kwanza wakiwemo Diarra, Lomalisa, Aucho, Pacome na Guede, akaja na mbinu kali ya kutumia 'gap' ya kukosekana nyota hao kama mtego. Full Time Yanga yake ikaibuka na ushindi wa mabao 3-1. Kivipi? Mfuatilie hapa Ramadhani Mbwaduke "Mzee wa Data". Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like... #pacome #diara #lomalisa #aucho #namungofc #mwinyizahera #mbangula #dube #mamelodi #caf #namungo #crbelouizdad #kennedymusonda #alahly #pacome #azizki #allykamwe #djiguidiarra #mudathir #okrah #enghersi #gsm #robofainali #pigakamangoma #pacomeday #kmc #majini #yanga # mudathir #kibabage #simba #azam #mashujaa #dodomajiji #mudathir #josephguede #inonga #drc #chama #kagereasugar #mashujaa #josephguede #newamanicomplex #okrah #afcon #ibrabacca #pacome #fredymichaelkoublan #josephguede #paomarjobe #babacarsarr #Baleke #jamhuri #gsm #modewji #imoro #cortes #jezimpya #kramo #taifastars #kibu #adelamrouche #taifastars #livestreaming #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #luismiquissone #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #mgunda #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke
#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
Simba SC imechezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Magoli yote mawili ya Tanzania Prisons yamefungwa na Samson Mbangula dakika ya 45 na 62 huku goli pekee la Simba likipatikana dakika ya 89 kupitia kwa Fabrice ngoma. Tazama Highlights....
JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII ...