Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Hii ni Ligi Kuu ya NBC, raundi ya 28 (bado mbili tu) Tazama highlights
Yanga SC imezidi kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, kwa kuwachapa Azam FC mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Magoli ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Abdullah 'Bacca', Laurindo Dilson Depu, na Pacome Zouzoua. Haya hapa magoli yote...
Nusu Fainali #CRDBBankFederationCup | Kadi nyekundu aliyooneshwa Yoro Diaby...Nini maoni yako? 90+': Azam FC 2-2 Yanga SC. Mechi iko LIVE #AzamSports1HD #CRDBFederationCup #DarDerby #AzamYanga
Yanga SC imelipa kisasi kwa kuitandika Azam FC mabao 2-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.... Yanga imepata mabao yake yote mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Pacome Zouzoua dakika 11 na Prince Dube dakika ya 34, huku Azam FC wakipata bao lao dakika ya 81. Tazama magoli....
DAR DERBY: Yanga SC imeangukia pua kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam FC, katika #DarDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga imetangulia kupata bao kupitia kwa Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Azam kuchomoa dakika ya 19 kwa goli la Gibril Sillah na kisha Feisal Salum akafunga la ushindi dakika ya 51.

#KipengaXtra #EastAfricaRadio #DarDerby Twitter: https://twitter.com/earadiofm Subscribes: https://www.youtube.com/channel/UClYL5SSefPhe-FCxFvXOreg
Highlights za mechi VPL kati ya Simba na Yanga iliyochezwa tarehe 04/01/2020 Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. #KariakooDerby #DarDerby #SimbaYanga #SimbaVSYanga #SimbaSC #YangaSC #UwanjaWaTaifa #BalamaMapinduzi #MeddieKagere #MohammedBanka #MoBanka