Content removal request!


🔴#LIVE: SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA SIMBA BAADA YA KUWAFUNGA DODOMA JIJI

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV UWANJA wa Mkapa Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji. Ni mabao ya Clatous Chama kwa mkwaju wa penalti na Meddie Kagere ambaye alipachika bao hilo kwa kichwa akiwa ndani ya 18. Kagere anafikisha bao la sita ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22. John Bocco nahodha alikwama kukamilisha dakika 90 kwa kuwa alipata maumivu Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV