Content removal request!


Tusker FC wailemea Kariobangi Sharks kwenye mechi ya ligi kuu iliyochezwa leo

Mabingwa watetezi Tusker FC waliishinda Kariobangi Sharks bao moja kwa sifuri kwenye mechi ya ligi kuu iliyochezwa katika uwanja wa Ruaraka mjini Nairobi. Kwingineko, KCB iliilemea Wazito FC mabao mawili kwa sifuri katika uwanja wa Kasarani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #TuskerFC #KariobangiSharks #KenyaPremierLeague