Content removal request!


Biashara United 2 -1 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 15/03/2022

Biashara United imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Magoli yote mawili ya Biashara United yamefungwa na Deogratius Judika Mafie dakika ya 26 na 34 huku Prisons wakijipatia bao lao kupitia kwa Ezekiah Mwashilindi