Magoli | Azam 1-2 Yanga | NBC Premier League 06/04/2022
Magoli | Azam 1-2 Yanga | NBC Premier League 06/04/2022

Fiston Kalala Mayele amefunga goli la ushindi kwa mtindo wa aina yake na kuifanya Yanga iondoke na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Rodgers Kola kabla ya Yanga kusawazisha kwa penati kupitia kwa Djuma Shabani na kisha Mayele kupachika bao la pili dakika ya 78.

Tanzania Prisons 3-2 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 04/04/2022
Tanzania Prisons 3-2 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 04/04/2022

Benjamin Asukile ametokea benchi na kuifungia Tanzania Prisons mabao mawili yaliyoipa ushindi wa 3-2 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo kwenye Dimba la Sokoine, jijini Mbeya. Dodoma Jiji ndiyo waliotangulia kufunga kupitia kwa Anuary Jabir dakika ya 6, kabla ya Jumanne Elifadhili kusawazisha dakika ya 18 na kisha Dodoma kufunga la pili dakika ya 33 kupitia kwa Salmin Hoza.

Magoli | Yanga 3-2 Mafunzo | Mechi ya Kirafiki 30/03/2022
Magoli | Yanga 3-2 Mafunzo | Mechi ya Kirafiki 30/03/2022

Yanga SC imeichapa Mafunzo FC inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar mabao 3-2 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huo yamefungwa na Balama Mapinduzi dakika ya 19', Heritier Makambo dakika ya 52' na Fiston Mayele kwa penati dakika ya 71' huku Ahmed Maulid na Abdulhakim Naim wakiifungia Mafunzo mabao mawili dakika ya 9 na 55'

Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022
Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Highlights | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.

Magoli | Tanzania 3-1 Afrika ya Kati | Mechi ya Kirafiki 23/03/2022

Magoli | Somalia 0-3 Eswatini | Kufuzu AFCON 2023
Magoli | Somalia 0-3 Eswatini | Kufuzu AFCON 2023

SOMALIA vs ESWATIN: Mechi ya mtoano atua awali kuwania kufuzu #AFCON imemalizika kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam na Somalia wamekubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka Eswatin. Haya hapa magoli yote matatu.

πŸ”΄#LIVE​​​​​​​​​​: VIONGOZI YANGA vs BONGO FLEVA ( 2 - 1) - MECHI ya KIRAFIKI,  MWAKA 1 WA RAIS SAMIA
πŸ”΄#LIVE​​​​​​​​​​: VIONGOZI YANGA vs BONGO FLEVA ( 2 - 1) - MECHI ya KIRAFIKI, MWAKA 1 WA RAIS SAMIA

πŸ”΄#LIVE​​​​​​​​​​: VIONGOZI YANGA vs BONGO FLEVA ( 2 - 1) - MECHI ya KIRAFIKI, MWAKA 1 WA RAIS SAMIA VIONGOZI wa klabu ya Yanga na wasanii wa Bongo fleva wanaoshabikia klabu ya Yanga, leo Machi 19, wamecheza mechi ya kirafiki katika dimba la Mkapa jijini Dar maalum kwa ajili ya kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia aliokaa madarakani. Mchezo huo umemalizika kwa Viongozi Yanga kupata ushindi mnono wa mabao ( 2-0)... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Talanta FC yailemea  Sofapaka kwenye ligi kuu ya soka nchini
Talanta FC yailemea Sofapaka kwenye ligi kuu ya soka nchini

Talanta FC ilihifadhi nafasi yao ya tisa kwenye orodha ya ligi kuu ya soka humu nchini baada ya kuishinda Sofapaka mabao 2-1 katika uwanja wa Kasarani Annex. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #FOOTBALL #TalantaFC #KPL

« Previous Next »

Popular Tags

#Golden State Warriors  #New York Knicks  #Shot Goals  #Tristan Thompson  #LeBron James  #Neymar  #Michael Jordan  #Zlatan Ibrahimovi  #Football Skills  #Best Ball Controls  

Popular Users

#serenawilliams  #DwyaneWade  #JayBilas  #_BAnderson30_  #lindseyvonn  #imVkohli  #TheEllenShow  #THNRyanKennedy  #criscyborg  #KevinHart4real  #PMOIndia  #neymarjr  #LarryFitzgerald  #BeingSalmanKhan