AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"
AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"

“Simba SC tunaweza kuifunga, Lakini nadhani kitu kinachotufanya tuwe na wasiwasi ni uwepo wa Kocha Benchikha (Abdelhak), nadhani mnafahamu ubora wake kwa sasa na namna anavyojua kusimama na mbinu zake,” “Nipo hapa kuhakikisha timu inapata wakati mzuri wa mechi hii ya Ijumaa (Machi 29), tunaamini makocha wetu watakuja na mpango mzuri wa kupata matokeo mazuri, hatujawahi kupata ushindi hapa Kwa Mkapa tukicheza na Simba SC, hili ni eneo lingine ambalo linatufanya tuwe makini na mechi hii." “Sina wasiwasi na kikosi chetu tutacheza kwa ubora wetu kupata matokeo mazuri ambayo yatatupa wepesi kabla ya mechi ya marudiano kule Cairo, tunataka kutetea ubingwa wetu msimu huu,” -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally



🟡Dah!Inaumiza Mayele Afunguka A-Z Yanayomsibu/Amtaja Kiongozi Anayemtumia Majini/Nateswa Kama Feisal
🟡Dah!Inaumiza Mayele Afunguka A-Z Yanayomsibu/Amtaja Kiongozi Anayemtumia Majini/Nateswa Kama Feisal

Aliyekua Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ambaye aliuzwa na Klabu yake kwenda kuichezea Klabu ya Pyramida ya Misri amefunguka yote ambayo yanamsibu katika sakata lake linaloendelea kufukuta mtandaoni.#mayele #yangasc #afcon2023 #usajili #simbasc #ahmedally #alikamwe #azamfc #azamtv #michezo #burudani Endele Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia



Mapya Sakata La Mayele Kutumiwa Jini / Asema Ni Kiongozi Mkubwa/ Sirudi Yanga
Mapya Sakata La Mayele Kutumiwa Jini / Asema Ni Kiongozi Mkubwa/ Sirudi Yanga

Mapya Sakata La Mayele Kutumiwa Jini / Asema Ni Kiongozi Mkubwa/ Sirudi Yanga



MIRAJI |SUPU DAY KALI SANA | AFL IMETUFUNDISHA QUALITY | MASHABIKI TUSIOSIKILIZWA TUMELETA TUZO BORA
MIRAJI |SUPU DAY KALI SANA | AFL IMETUFUNDISHA QUALITY | MASHABIKI TUSIOSIKILIZWA TUMELETA TUZO BORA

MIRAJI MASHABIKI TUSIOSIKILIZWA TUMEMPANDISHA NDEGE KIONGOZI KWENDA KUCHUKUA TUZO 🤣 SUPU YA YANGA DAY SIO USHAMBA HATA MIMI NILIITAMANI SANA SUPU IMEWAWEKA MASHABIKI KARIBU AFL IMETUFUNDISHA UWEKEZAJI NA SIO JANJA JANJA



KIONGOZI SIMBA AZUNGUMZA UKWELI KWA NINI MOSES PHIRI ANAANZIA BENCHI/ROBERTINHO NDIO DAWA YA YANGA
KIONGOZI SIMBA AZUNGUMZA UKWELI KWA NINI MOSES PHIRI ANAANZIA BENCHI/ROBERTINHO NDIO DAWA YA YANGA

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA Follow Us On: INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU TWITTER: shorturl.at/luzLZ FACEBOOK: shorturl.at/rCL12 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv




Next »


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Football Defensive Skills  #Sergio Aguero  #Gareth Bale  #Best Football Defending Skills  #Miami Heat  #Neymar  #Lionel Messi  #Michael Jordan  

Popular Users

#BeingSalmanKhan  #alexmorgan13  #nyt4thdownbot  #normmacdonald  #espn  #twitter  #RobGronkowski  #AntDavis23  #geniebouchard  #katzm  #BillGates  #selenagomez  #Buster_ESPN  #JohnCena  #GNev2