Azam TV   

Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“The official Azam TV on Twitter | Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000”

 Report User

Highlights

MASHUJAA FC YAITEKA MBEYA: Tazama namna mashabiki wa Mashujaa FC walivyotua ‘kibabe’ ndani ya jiji la Mbeya kuelekea kwenye mchezo wao wa mkondo wa pili wa #PlayOff dhidi ya Mbeya City. Mambo yatakuwaje leo? Mechi saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD #PlayOff…



MASHUJAA FC 'KUOGA' PESA KILA GOLI "Kila goli moja litakwenda takribani milioni tano, sita" Omary Gimbi, Katibu Mkuu Chama cha Soka Mkoani Kigoma akizungumzia hamasa walionayo kutoka kwa wadau wa soka mkoani humo kuelekea mchezo wa marudiano wa play-off kati ya Mbeya City dhidi…



KUIONA MBEYA NI BURE: “Wananchi waje na miguu yao” maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera akiwajuza wakazi wa mkoa huo kwenda kuutazama mtanange wa #PlayOff kati ya Mbeya City dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma ndani ya dimba la Sokoine. Katika mchezo huo utakaopigwa kesho,…



PLAY-OFF: Mbeya City leo watakuwa kibaruani ndani ya mji wa Kigoma kule ‘mwisho wa reli’ kumenyana na Mashujaa FC kupambania nafasi ya kusalia Ligi Kuu (NBC Premier League) ndani ya dimba la Lake Tanganyika.

Huu ni mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya timu hizo kurudiana tena…

PLAY-OFF: Mbeya City leo watakuwa kibaruani ndani ya mji wa Kigoma kule ‘mwisho wa reli’ kumenyana na Mashujaa FC kupambania nafasi ya kusalia Ligi Kuu (NBC Premier League) ndani ya dimba la Lake Tanganyika. Huu ni mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya timu hizo kurudiana tena…



05’ | #AFCONQ 

Tanzania 0-0 Niger 

LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee.

#KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger #TanzaniaNiger

05’ | #AFCONQ Tanzania 0-0 Niger LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger #TanzaniaNiger



KUFUZU AFCON 2023: Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikipasha misuli moto ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kuivaa Niger. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger



KUFUZU AFCON 2023: Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimewasili ndani ya dimba la Benjamin Mkapa tayari kuivaa Niger. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee. #KufuzuAfcon2023 #Afcon2023 #TaifaStars #TanzaniaVsNiger



“…tunakwenda kumpasua Niger” – Mashabiki wa Taifa Stars kuelekea mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania vs Niger, kesho saa 10:00 jioni LIVE #ZBC2 kwa Tanzania pekee #TaifaStars #KufuzuAFCON #AFCONQ2023 #KufuzuAFCON2023




Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports