MBEYA CITY WAMPA ADHABU NZITO NAMUNGO KWAKE ( 0 - 1 )
MBEYA CITY WAMPA ADHABU NZITO NAMUNGO KWAKE ( 0 - 1 )

#MbeyaCity#NamungoFC#LigikuuTanzania MBEYA CITY WAMPA ADHABU NZITO NAMUNGO KWAKE ( 0 - 1 )



Yanga watoa Tamko zito kwa kitendo cha NTIBAZONKIZA,Saido Out! "Yanga ni kubwa kuliko mchezaji" ondo
Yanga watoa Tamko zito kwa kitendo cha NTIBAZONKIZA,Saido Out! "Yanga ni kubwa kuliko mchezaji" ondo

Yanga watoa Tamko zito kwa kitendo cha NTIBAZONKIZA,Saido Out! "Yanga ni kubwa kuliko mchezaji" ondo Video:Alicho fanya NTIBAZONKIZA kwa Mwambusi kocha wa Yanga afunguka bifu zito "utovu wa nidhamu",,, Sikia kejeli za Manara baada ya ushindi wa Yanga vs Gwambina (3-1) 'LEO MGUMBA KAPATA MIMBA' fyoko,,Mambo kumi (10) yaliyo onekana katika ushindi wa Yanga 3-1 Gwambina Nchimbi wow! Ntibazonkiza amehar Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 20 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 18 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 17 April 20/2021 Baada ya mechi zote za leo msimamo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) 10 April 20/2021 Yanga vs KMC 1-1 :VPL magoli yote Goli la Yacouba Yanga leo |full time Highlights 🔴LIVE:YANGA SC VS KMC FC VODACOM PRIMIER LEAGUE LEO (ROUND 24) Kikosi cha kwanza YANGA leo dhidi ya KMC kwa mkapa,kikosi cha kikatili ushindi lazima Saido,Yacouba Yanga mpya ya Mwambusi balaa,kuanza kazi leo SAIDO, Yacouba ndani Mastaa Yanga wawekewa Mil 20 Mezan Yanga yapata PIGO ZITO wachezaji hawa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya KMC kocha athibitisha Kocha wa YANGA aahidi ushindi dhidi ya KMC VPL, afunguka mazito kesho kwetu ni fainali "tutashinda" Kocha wa makipa Yanga awafanyisha mazoezi Metacha na Shikalo wamnyooshea mikono Tazama mazoezi YANGA YATOA TAMKO ZITO KWA TFF ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA Breaking:Uongozi wa YANGA watoa Tamko zito kuhusu maandamano ya kudai haki kwa TFF,waanika Mapya.... Mchezaji wa YANGA Haruna Niyonzima afunguka kustaafu soka Mapya yaibuka aitaja Timu hii.... Wachezaji wa YANGA wachekelea ujio wa Yusuph Manji, waitambia simba ya Mo, wanao mjua wafunguka YUSUPH MANJI azua gumzo YANGA anarejea na mabillion ya pesa,Mapya yazid kuibuka huwezi amini..... Afisa mhamasishaji wa YANGA Antonio Nugaz amuumbua MANARA "unarembua huyu dem mkali" amjibu kisomi Kocha wa YANGA aunda vikosi vitatu hivi hapa! Wamedhamilia kuchua ubingwa waja na mbinu mpya,,,, Baada ya YANGA kumtangaza kocha wa makipa kutoka Kenya MANARA awaumbua "Air chibonge" Yanga wana.... Shabiki wa YANGA Akili 5000 afichua siri wanao ihujum Yanga na wapo Yanga,MANARA aomba CAG Jangwan Yanga watangaza benchi la Ufundi (benchi la nchi Tano) hii ndo Yanga ya ubingwa tazama Yanga kwa kocha huyu Kombe ni Lao "kocha mpya wa YANGA ni tishio AFRICA" kutoka Urafansa afunguka Yanga sc wamtangaza kocha mpya huwezi amini waanika CV zake zote ndani ya massa 24,MIGNE FROM FRANCE Huyu ndie mrithi wa Cedric Kaze YANGA Sebastian Migne "kibari cha mzuia kocha mpya Yanga" Hubert?,,, Boss wa kaizer Chiefs ya south Africa awafuata Mukoko Tonombe na Tuisila Kisinda YANGA, dili nono Kazi imeanza Mwambusi abadili gia Yanga Kisa ubingwa Ligi kuu Bara,Sarpong,Fiston, Kisinda wanahusik Wadhamini YANGA wamwaga mabillion wawili waongezeka "bill 43.8" waipindua Simba ya Mo (Dangote&Manj) YANGA wafanya jambo lingine kubwa kuliko "wakufunzi wa mpira kutoka South Africa" wapo jangwani... Yanga wafanya maamzi mazito katika usajili Straika kutoka DR CONGO David Molinga arejea Jangwani Baada ya kikao kizito YANGA SC Watoa tamko zito Kuhusu kocha mpya "fagio lapita watatu wabakia" Wachezaji wakimataifa Mukoko Tonombe Niyonzima watimka YANGA Makamu mwenyekiti yanga athibitisha Mifumo ya kocha mpya YANGA yavuja,yambeba Carlinhos Tuisila na Niyonzima,soka lake ni kushambulia #YangaSc #VPL #GwambinaFc #MwaduiFc #VPL #SimbaSc #YangaSc #VPL #BiasharaUnited #SimbaSc #KMCFc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #MichaelJackson #Rayvanny #DiamondPlatnumz #Harmonize #TanzaLiveTv #MiddleSimba #Ebitoke #Tanasha #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam



SIMBA KUPEWA POINT 3 ZA MEZANI BAADA YA EL MERREIKH KUCHEZESHA WACHEZAJI WENYE ADHABU,C.E.O AFUNGUKA
SIMBA KUPEWA POINT 3 ZA MEZANI BAADA YA EL MERREIKH KUCHEZESHA WACHEZAJI WENYE ADHABU,C.E.O AFUNGUKA

Nimepata taarifa za El Merreikh kujumusha wachezaji 3 kwenye mechi vs Simba ingawa walifungiwa miezi 6 baada kusaini kandarasi na vilabu 2 tofauti (El Hilal na El Merreikh) wachezaji hao ni Mohamed AlRashed Mahamoud, Ramadan Agab, Baljit Khamis Mohamed Kwa mujibu wa kanuni ya CAF ya VI(10) timu itakayochezesha mchezaji asiye halali itapoteza mchezo na kuondolewa mashindanoni 👉 Kwa mujibu wa barua ambayo El Merreikh waliyopewa ni wazi kuwa walichezesha wachezaji ambao hawakustahili Hivyo Simba wana haki ya kwenda kushtaki CAF SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini Khartoum, Jumamosi iliopita ambao uliisha kwa sare tasa. Taarifa za uhakika ambazo uongozi wa Simba umedai kuzinasa kutoka Sudan kwa ushahidi wa nyaraka mbalimbali, zimeonyesha kuwa wachezaji hao Ramadan Agab na mwingine ambaye jina lake wanalisaka, walicheza mechi hiyo huku wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita waliyopewa na Chama cha Soka Sudan (SFA) Ushahidi wa barua ambao Simba wameupata na kuionyesha Mwanaspoti nakala, unaonyesha kuwa SFA iliwafungia wachezaji hao kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini mikataba katika timu mbili tofauti, adhabu ambayo inaishia katikati ya Aprili "Hii ni nakala ya uamuzi. Kimsingi wachezaji hao wawili walisaini mikataba miwili tofauti na Al Merrikh na Al Hilal na wamefungiwa kucheza kwa muda wa miezi sita. Barua hii ni ya Katibu Mkuu wa Al Merrikh ambayo walimpa kocha kwamba anaweza kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa. Wachezaji hao hawakucheza mechi yoyote ya Al Merrikh hadi sasa. Wamefungiwa kucheza hadi katikati ya Aprili. Wamefanya uamuzi wao wenyewe," alisema mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Ikiwa itabainika ni kweli Al Merrikh waliwachezesha wachezaji ambao hawakustahili kucheza, itaondolewa mashindanoni "Timu itakayomchezesha mchezaji aliyesimamishwa au asiyeruhusiwa itahesabika imepoteza mchezo husika na moja kwa moja itaondolewa mashindanoni ikiwa kamati ya mashindano ya Caf itajiridhisha na hoja zitakazowasilishwa," inasema kanuni ya saba.



C E O WA SIMBA BABRAH AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MKUDE / HANA NIDHAMU / TUTATOA ADHABU
C E O WA SIMBA BABRAH AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MKUDE / HANA NIDHAMU / TUTATOA ADHABU

SIKIA MWANZO MWISHO ALICHOKISEMA C E O WA SIMBA BABRAH KUHUSU JONAS MKUDE NUNGUNUNGU #SIMBA #IHEFU



YANGA SC  waipa adhabu RUVU SHOOTING - SECOND HALF
YANGA SC waipa adhabu RUVU SHOOTING - SECOND HALF

#Ruvushooting#Yangasc#MkapaStadium#YangascVsRuvuShooting YANGA SC waipa adhabu RUVU SHOOTING - SECOND HALF



SIMBA SC 1-1 BIASHARA UNITED: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 25/05/2019)
SIMBA SC 1-1 BIASHARA UNITED: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 25/05/2019)

Timu ya Biashara United kutoka mkoani Mara imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC katika mchezo uliopigwa leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Biashara ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Innocent Edwin dakika ya 14 kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 17 kupitia kwa Clatous Chama akimalizia krosi ya Mohamed Hussein. Sima imefikisha pointi 92 kileleni wakati Biashara United ikifufua matumaini ya kubaki ligi kuu kwa kujiongeza pointi moja na kufikisha pointi 44 kwenye nafasi ya 12. Katika mchezo wa mwisho Biashara itacheza ugenini dhidi ya Mbeya City na italazimika kushinda au kupata sare ili kuepuka adhabu ya kushuka daraja moja kwa moja wakati Simba ambayo haina cha kupoteza ikienda kumalizia mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar na kukabidhiwa kombe lao la ubingwa.



MAGOLI: SIMBA SC 1-1 BIASHARA UNITED (TPL - 25/05/2019)
MAGOLI: SIMBA SC 1-1 BIASHARA UNITED (TPL - 25/05/2019)

Timu ya Biashara United kutoka mkoani Mara imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC katika mchezo uliopigwa leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Biashara ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Innocent Edwin dakika ya 14 kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 17 kupitia kwa Clatous Chama akimalizia krosi ya Mohamed Hussein. Sima imefikisha pointi 92 kileleni wakati Biashara United ikifufua matumaini ya kubaki ligi kuu kwa kujiongeza pointi moja na kufikisha pointi 44 kwenye nafasi ya 12. Katika mchezo wa mwisho Biashara itacheza ugenini dhidi ya Mbeya City na italazimika kushinda au kupata sare ili kuepuka adhabu ya kushuka daraja moja kwa moja wakati Simba ambayo haina cha kupoteza ikienda kumalizia mkoani Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar na kukabidhiwa kombe lao la ubingwa.



KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2
KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2

KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2 KOHA Mkuu wa Mbeya City, Ramadhan Nsanzurwimo amesema kuwa hawajafungwa na Simba bali wamefungwa na waamuzi wa mchezo ambao wameshindwa kutimiza sheria 17. Mbeya City wamepoteza mchezo wa leo kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kutangulia kufunga kipindi cha kwanza kupitia kwa Iddy Nado ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba waliokuwa wakikaba kwa macho. Nsanzurwimo amesema kuwa hajajua sababu ya faulo ya pili ambayo Simba wamepewa licha ya kuutazama mchezo kwa umakini hali iliyofanya wapoteza mchezo wao. "Hii ni kazi ya mtu, sasa kama inatokea mtu mwingine anaiharibu kwa makusudi hii sio sawa, ilikuwa ni lazima tushinde na tulipambana kweli matokeo yake Simba inashinda mabao 2-1 siamini kama nimefungwa na Simba bali nimefungwa na waamuzi. "Najua Simba ni timu kubwa ila haipaswi kupewa kipaumbele kila mara hata kama inakosea, ukitazama mabao yao na namna ambavyo wamefunga sina namna ya kukubali na kuwaomba waamuzi wawe makini wakati mwingine, vijana wangu wamechoka kwa kupambana kisha haki yao inapotea," amesema. Mabao ya Simba ya leo yote mawili yalifungwa kwa kutengenezwa na adhabu ambapo lile la kwanza lilifungwa na Jonas Mkude baada ya Emmanuel Okwi kuchezewa rafu na la pili lilifungwa na Meddie Kagere baada ya Hassan Dilunga kuchezewa faulo. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho




« Previous Next »


Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Mesut Ozil  #Best Goals  #Allen Iverson  #Best Football Defending Skills  #Goalkeeper Saves  #Michael Jordan  #Shaquille O'Neal  #Paul George  #Manuel Neuer  

Popular Users

#YouTube  #kevinlove  #OleksiakPenny  #rogerfederer  #Harry_Styles  #RobbieSavage8  #selenagomez  #oldhossradbourn  #UKCoachCalipari  #darrenrovell  #espn  #twitter  #jtimberlake  #floydmayweather  #DjokerNole