KISUGU AGEUKA MBOGO ALLY KAMWE KUFUNGIWA NA KAMATI YA NIDHAMU | MPANZU ATAWANYOOSHA YANGA
KISUGU AGEUKA MBOGO ALLY KAMWE KUFUNGIWA NA KAMATI YA NIDHAMU | MPANZU ATAWANYOOSHA YANGA

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.



TIGANA "SIMBA NIDHAMU YA UKABAJI ILIKUWA CHINI/CHAMA HAKUWA BORA/HATUJAZOEA..
TIGANA "SIMBA NIDHAMU YA UKABAJI ILIKUWA CHINI/CHAMA HAKUWA BORA/HATUJAZOEA..

Leo Februari 18 2023,Simba SC anamkaribisha Raja Casablanca kutoka Morocco kwenye Dimba la Benjamin Mkapa ...



KOCHA WA ZAMANI SIMBA AFUNGUKA SABABU YA DODOMA JIJI KUFUNGWA NA SIMBA 2-0 KWA MKAPA
KOCHA WA ZAMANI SIMBA AFUNGUKA SABABU YA DODOMA JIJI KUFUNGWA NA SIMBA 2-0 KWA MKAPA

FT: Simba 2-0 Dodoma Jijj 🔊 Alama tatu muhimu kwa Simba, Dodoma Jiji wamepoteza mechi ambayo naona walicheza vizuri, walikuwa na nidhamu nzuri ya kuzuia kwa bahati mbaya kosa moja kubwa likawafanya waikabidhi mechi mikononi mwa Simba. 🔊 Dodoma Jiji hawakuwaruhusu Simba kupiga penetration passes, walizuia half spaces na kuwafanya wacheze nje ya eneo la hatari muda mwingi, katika system ya low blocks defensive hukuona Simba wanatengenezaje nafasi kabla ya kosa la penati kutokea. 🔊 Ipo sehemu ya Simba kujitazama mara mbili, mara nyingi wanapokutana na timu za aina hii wanajenga mashambulizi yao taratibu hiyo inawasaidia wapinzani kujipanga kwa sababu presha inakuwa ni ndogo kwenye eneo lao. 🔊 Zipo nyakati ambazo Dodoma Jiji wangekuwa wakatili mbele ya lango la Simba pengine wangeifanya mechi kuwa ngumu zaidi, ni rahisi kukishinda kiungo cha Simba kama utaamua kuwa press na kufanya mikimbio nyuma ya safu hiyo. 🔊 Viungo wa Simba wanapitika kirahisi timu isipokuwa na mpira, tofauti ilikuwa ndogo tu, Dodoma Jiji hawakuwa na ubora katika kufanya matendo ya mwisho ya kutengeneza nafasi na kufunga magoli na hii inaficha udhaifu wa wapinzani ulioonekana



Alichokisema Manara baada Yanga kuipiga Kagera sugar (0-1) Ligi kuu ya Tanzania bara TPL,,,
Alichokisema Manara baada Yanga kuipiga Kagera sugar (0-1) Ligi kuu ya Tanzania bara TPL,,,

Alichokisema Manara baada Yanga kuipiga Kagera sugar (0-1) Ligi kuu ya Tanzania bara TPL,,, Kagera sugar vs Yanga (0-1) Goli la Feisali | Ligi Kuu Ya Tanzania Bara TPL Highlights Goli la Feisal Salum 24'min Kagera sugar vs Yanga sc (0-1) Ligi kuu Ya Tanzania bara Highlights Kagera sugar vs Yanga Sc 0-1 |Goli la Feisali Salum 24' min :Tanzania Premier league Highlights 🔴LIVE:KAGERA SUGAR VS YANGA SC LIGI KUU YA TANZANIA (TPL) TO DAY MATCH Alichokisema Manara baada ya Mo kujiuzuru Simba, Azitaja Bil 20 ndo sababu,amuita Morrison atoe jibu Kikosi Cha Yanga leo kinacho anza dhidi ya Kagera sugar Ligi kuu ya Tanzania bara (TPL) hiki hapa Alichokisema Manara kabla ya Mchezo wao wakwanza Dhidi ya Kagera Sugar (TPL) Ligi kuu ya Tanzania Kocha wa Yanga ambadilishia Namba Makambo kisa Mayele, leo kagera anakufa mapema, Yanga hii ni balaa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga MAYELE afunguka 'kazi imeanza nitafunga sana' au taka ufalme TPL Yanga Sc Watoa Tamko Zito Timu yetu ni kubwa Mno Msimu huu "HATUTAKI KULALAMIKA LALAMIKA OVYO" Kolo Wachezaji Wote walio Itwa Timu ya Taifa Stars,Idadi ya walio toka Simba na Yanga Gumzo,Mkude arejea Alichokisema Manara alusha Bomu Jipya "MAKOLO KUHUSU MAKOMBE SAHAU" nimehama na makombe yangu, Yanga Refa wa Mechi ya Simba vs Yanga Kayoko Kufungiwa na TFF baada ya Kuwabeba,Feisali alistaili Red Card Video:TFF Watoa Tamko zito! kumfungia Mchezaji wa Yanga Yannick Bangala, kuonesha Dole la Kati,Jana Alichokisema Manara baada mechi ya Jana Simba vs Yanga (0-1) Amchana Makavu Mo Dewj, Makolo mlikuwa, Alichokisema Boss WaSimba Mo Dewj baada ya Yanga kuwachapa Simba Ngao ya Jamii, Atoa Tamko zito,, Manara Afichua Siri ya Goli la Yanga lilofungwa na Mayele 11'Min, baada ya Yanga kuipiga Simba,,, Alichokisema Aliyekuwa Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz baada ya Yanga kuipiga Simba leo,, Yanga Sc baada ya Kuifunga Simba leo katika Mchezo wa Ngao ya Jamii, Watoa Tamko Zito, Makombe Yote, Alichokisema Manara baada ya Yanga kuipiga Simba (1-0) Mchezo wa Ngao ya Jamii (Darby Ya Kariakoo),, Simba vs Yanga 0-1 |Goli la Mayele Darby Ya Kariakoo:Ngao Ya Jamii FT:Highlights SIMBA vs Yanga 0-1 |Goli la Mayele 11'Min:Ngao Ya Jamii (Darby Ya Kariakoo) Highlights 🔴LIVE:SIMBA SC VS YANGA SC NGAO YA JAMII (KARIAKOO DARBY) MATCH TO DAY 🔴LIVE:Kinacho endelea kwa Mkapa kwenye mechi ya Simba vs Yanga,Mpili Atua na Mkewe,Mashabiki wajaa,, Kikosi Cha Yanga leo kinachoanza dhidi ya Simba Mchezo wa Ngao ya Jamii ni balaa Tupu,, Alichokisema Manara kwa Simba Kuelekea Mechi ya leo Darby ataja Kikosi cha Yanga "Watakuwepo Wote" Taarifa mbaya Yanga Yapata Pigo zito Mukoko/Djuma, Aucho & Mayele, Kuikosa Darby kesho wakutwa na,,, Baada ya Kutambulishwa Hizi ndo Sababu zilizo Mrudisha CEDRIC KAZE Yanga "Madeni, Kuvunjiwa mkataba" Breaking:Yanga Yawarejesha Makocha wa Zamani ZAHERA na KAZE watua jangwani,Simba anapigwa nyingi,, Kisa Matajiri 9 Yanga wakesha usiku kucha, Mikakati mizito yasukwa, Wachezaji kumwagiwa mamilion,, Manara Atoa Onyo zito kwa Simba Kuelekea mechi ya Ngao ya Jamii "Tuta wafunga nyingi Makolo" si chin Mwamuzi wa mechi ya Darby Simba vs Yanga Jumamosi "PASUA KICHWA" ni hatarii,huyu hapa,Record zake,,, Breaking:Sauti nyingine ya Vuja Wanachama Watoa Tamko zito"HATUMTAKI MANARA AONDOKE" hujuma za Darby Alichokisema Manara kuhusu kuondoka Yanga baada ya wazee wa Yanga Kumfukuza Yanga sababu ya usaliti Kimenuka Jangwani Rasmin Yanga Kumfukuza Manara ni msaliti anavujisha siri za Yanga kwasimba,ushaidi Kocha Mkuu Wa Yanga Nassredinne Nabi ashikilia Hatima ya Balama Mapinduzi Yanga Sc, amerejea Upya,, Kiungo wa kimataifa Yanga Mukoko Tonombe Awatambia Simba "Tuta wanyoosha mapema" Ngao ya Jamii,, CAS watoa majibu mazito kuhusu utata wa usajili wa Morrison kujiunga Simba, Rasmi Yanga watoa Tamko Alichokisema CEDRIC KAZE atoboa siri athibitisha kurudi Yanga,Rasmi kuwa kocha mkuu "kweli nimerudi" Yanga vs DTB 3-1| Magoli yote :Mayele, Athuman,David Bryson Mechi ya Kirafiki leo tazama Breaking:Yanga Wamrejesha Kocha wa Zamani Cedric Kaze,Mapya yaibuka Wanachama wagoma,Nabi kuondoka Breaking:Yanga watoa Tamko zito "Wamtimua Kocha Nabi"!! Kipigo cha Club bingwa Nigeria,Simba Darby,, Yanga baada ya kuondolewa Club bingwa Africa na Rivers united ya Nigeria Watoa Tamko zito kwa Simba #KageraSugar #YangaSc #TPL #SimbaSc #TPL #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Cgo1Media #Futuhvanny #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam




Next »


Popular Tags

#Best Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Chicago Bulls  #Sergio Aguero  #Paul Pogba  #Michael Jordan  #Derrick Rose  #Thomas Muller  #Philadelphia 76ers  #Best Goals Ever  

Popular Users

#MieshaTate  #Harry_Styles  #selenagomez  #WWE  #jimmyfallon  #Ky1eLong  #si_vault  #lindseyvonn  #incarceratedbob  #BeingSalmanKhan  #kevinlove  #shakira  #rogerfederer  #JoelEmbiid  #normmacdonald