Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KOCHA wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemwambia kocha mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, kuwa kama anataka kufuzu hatua inayofuatia ya Ligi ya Mabingwa Afrika, basi ashambulie kwa dakika zote 90. Yanga Jumapili hii itajitupa uwanjani huko nchini Nigeria kuvaana na Rivers United katika mchezo wa marudiano wa michuano hiyo hatua ya awali. Zahera ambaye anasubiriwa kutambulishwa kuwa Mkurugenzi wa Soka la Vijana wa Yanga, anatarajiwa kuwepo katika msafara wa timu hiyo utakaosafiri kwenda Nigeria, kesho Ijumaa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameiadhibu Ruvu Shooting baada ya kuichapa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Nyota wa mchezo wa LEO NOV 23, 2019 alikuwa ni mshambuliaji Miraji Athumani ‘Madenge’ aliyefunga mabao mawili, huku linguine likifungwa na beki Mbrazil, Tairone Santos da Silva. Kikosi cha Ruvu Shooting kilikuwa; Mohamed Makaka, Omary Kindamba, Kassim Simbaulanga, Renatus Ambroce, Rajab Zahir, Zuberi Dabi, Emmanuel Martin, Shaaban Msala/Moses Shaaban dk73, Saadat Mohamed, Said Dilunga/Fully Maganga dk58 na Edward Christopher/Abdulrahman Mussa dk61. Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Tairone Santos, Pascal Wawa, Gerson Fraga ‘Viera’, Hassan Dilunga/Deo Kanda dk63, Muzamil Yassin, Meddie Kagere/Ibrahim Ajibu dk75, Miraji Athuman ‘Madenge’ na Francis Kahata/Sharaff Eldin Shiboub dk79. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
YANGA YAWAPATIA PAZURI TOWNSHIP ROLLERS/WAKENYA WAMPA SOMO ZAHERA
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Msemaji wa Simba Haji Manara akiwa katika Hoteli ya Pick ya jijini Mbeya amejibu shutuma za klabu hiyo kutumia fedha na kupendelewa ili ipate matokeo uwanjani. Akizungumza juu ya tuhuma za Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera na Kocha wa Mbeya City Ramadhani Nsanzurwimo, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa makini na hizi tuhuma zinazotolewa na baadhi ya makocha wa ligi kuu. “Sina maana ya kuwataka TFF kuwafungia hao makocha wanaotoa tuhuma ila wajaribu kutoa onyo ili haya mambo yasijirudie kwenye ligi yetu”amesema Haji Manara . Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
POVU la MANARA Baada ya SIMBA Kufungwa na KAGERA! SIMBA Jumamosi ilitolewa hang’iova ya michuano ya kimataifa na kukaribishwa kwenye Ligi Kuu Bara kwa kipigo dhidi ya Kagera Sugar mjini hapa. Mabingwa hao watetezi jana walikumbana na kipigo cha mabao 2-1 ikiwa na kikosi chake chote ndani ya Uwanja wa Kaitaba na kumuacha Kocha wa Kagera, Mecky Maxime akiwa mtu mwenye furaha kubwa kama Mwinyi Zahera wa Yanga. #SIMBAVSKAGERASUGAR www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDy https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA ZAHERA Aongea na KOCHA TP MAZEMBE / "SIMBA VS TP MAZEMBE Mechi Ngumu" KOCHA Mkuu wa yanga Mwinyi zahera amesema mwenendo wa ligi hauendi vizuri kutoka na baadhi ya timu kuwa na mechi nyingi ambazo hajizachezwa. Yanga ilimaliza mchezo ikiwa pungufu baada ya mkongwe, Kelvin Yondan kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 82 baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Kagera Sugar, Kassim Khamis. Matokeo haya yanaifanya Yanga kucheza jumla ya michezo 31 ikiwa imejikusanyia pointi 74 huku Kagera ikiwa imecheza michezo 32 na ina pointi 36 ikiwa nafasi ya 17 kwenye msimamo. #ZAHERA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global