Content removal request!


Manara Awachana Kocha Wa Yanga Na Kocha Mbeya City

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Msemaji wa Simba Haji Manara akiwa katika Hoteli ya Pick ya jijini Mbeya amejibu shutuma za klabu hiyo kutumia fedha na kupendelewa ili ipate matokeo uwanjani. Akizungumza juu ya tuhuma za Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera na Kocha wa Mbeya City Ramadhani Nsanzurwimo, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa makini na hizi tuhuma zinazotolewa na baadhi ya makocha wa ligi kuu. “Sina maana ya kuwataka TFF kuwafungia hao makocha wanaotoa tuhuma ila wajaribu kutoa onyo ili haya mambo yasijirudie kwenye ligi yetu”amesema Haji Manara . Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars