Content removal request!


Mashabiki Simba Wagoma KOCHA Kuondoka, Upepo wa ZAHERA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameiadhibu Ruvu Shooting baada ya kuichapa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Nyota wa mchezo wa LEO NOV 23, 2019 alikuwa ni mshambuliaji Miraji Athumani ‘Madenge’ aliyefunga mabao mawili, huku linguine likifungwa na beki Mbrazil, Tairone Santos da Silva. Kikosi cha Ruvu Shooting kilikuwa; Mohamed Makaka, Omary Kindamba, Kassim Simbaulanga, Renatus Ambroce, Rajab Zahir, Zuberi Dabi, Emmanuel Martin, Shaaban Msala/Moses Shaaban dk73, Saadat Mohamed, Said Dilunga/Fully Maganga dk58 na Edward Christopher/Abdulrahman Mussa dk61. Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Tairone Santos, Pascal Wawa, Gerson Fraga ‘Viera’, Hassan Dilunga/Deo Kanda dk63, Muzamil Yassin, Meddie Kagere/Ibrahim Ajibu dk75, Miraji Athuman ‘Madenge’ na Francis Kahata/Sharaff Eldin Shiboub dk79. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars