IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE by @Dar24 Media - Post Details

IMEVUJA: MAKAMBO AMALIZANA NA YANGA/ HOROYA YATEPETA MAPEMA/ KUTUA NCHINI WAKATI WOWOTE

Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc

Similar Posts!

AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"
AL AHLY WAINGIA HOFU DAR/ BENCHIKHA AWANYIMA USINGIZI/ KIONGOZI AL AHLY AFUNGUKA/ "TUNA KAZI KUBWA"

“Simba SC tunaweza kuifunga, Lakini nadhani kitu kinachotufanya tuwe na wasiwasi ni uwepo wa Kocha Benchikha (Abdelhak), nadhani mnafahamu ubora wake kwa sasa na namna anavyojua kusimama na mbinu zake,” “Nipo hapa kuhakikisha timu inapata wakati mzuri wa mechi hii ya Ijumaa (Machi 29), tunaamini makocha wetu watakuja na mpango mzuri wa kupata matokeo mazuri, hatujawahi kupata ushindi hapa Kwa Mkapa tukicheza na Simba SC, hili ni eneo lingine ambalo linatufanya tuwe makini na mechi hii." “Sina wasiwasi na kikosi chetu tutacheza kwa ubora wetu kupata matokeo mazuri ambayo yatatupa wepesi kabla ya mechi ya marudiano kule Cairo, tunataka kutetea ubingwa wetu msimu huu,” -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally



FEI TOTO AWAPA MANENO MAZITO YANGA/AMTAJA SURE BOY/KUMBE MAMA YAKE ALIMUAMBIA HAYA...
FEI TOTO AWAPA MANENO MAZITO YANGA/AMTAJA SURE BOY/KUMBE MAMA YAKE ALIMUAMBIA HAYA...

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #Dar24 #Dar24Media



AL AHLY WAIPELEKA SIMBA ZANZIBAR/ MIZANI YAKATAA/ JEURI YAMPANDA BENCHIKHA/ "NAIONA NUSU FAINALI"
AL AHLY WAIPELEKA SIMBA ZANZIBAR/ MIZANI YAKATAA/ JEURI YAMPANDA BENCHIKHA/ "NAIONA NUSU FAINALI"

"Ahly wanajua kuwa wanakwenda kukutana na mpinzani mgumu kwa kiasi gani na Simba SC itakwenda kupigania nafasi ya kwenda Nusu Fainali na sio kuhofia hadhi yao. Tunatakiwa kujipanga kwenda kuthibitisha kwa nini tupo kwenye klabu kumi bora Afrika kwa kushindana na klabu namba moja na bila hofu kila kitu kinawezekana," -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #simbasc #alahly #ahmedally



MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA
MIQUISSONE AMPONZA CHAMA/ UONGOZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU/ PHIRI AMETANGULIZWA!/UCHUNGUZI UMEKAMILIKA

Habari zinaeleza kuwa Uongozi wa Simba SC umefanya uchunguzi na kuona kuna kikundi cha mastaa watatu ambapo kama wakikimaliza, basi makocha na timu nzima itafanya kazi kwa sauti na kwa nguvu moja kama ilivyo kauli mbiu yao. Mastaa hao ambao wanaipasua kichwa Simba SC ni Clatous Chama ambaye kwa sasa yupo nje ya kikosi baada ya kusimamishwa akidaiwa kukwaruzana na mmoja wa makocha wa timu hiyo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #chama #miquissone #simbasc