Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KOCHA wa zamani wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amemwambia kocha mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi, kuwa kama anataka kufuzu hatua inayofuatia ya Ligi ya Mabingwa Afrika, basi ashambulie kwa dakika zote 90. Yanga Jumapili hii itajitupa uwanjani huko nchini Nigeria kuvaana na Rivers United katika mchezo wa marudiano wa michuano hiyo hatua ya awali. Zahera ambaye anasubiriwa kutambulishwa kuwa Mkurugenzi wa Soka la Vijana wa Yanga, anatarajiwa kuwepo katika msafara wa timu hiyo utakaosafiri kwenda Nigeria, kesho Ijumaa. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars