Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ameanza kuitia hofu Jwaneng Galaxy, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika, hatua ya Kwanza utakaochezwa mwishoni mwa juma hili mjini Gaborone, Botswana. Simba SC itaanzia ugenini Oktoba 17, kisha itarejea nyumbani jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa Mkondo wa pili uliopangwa kucheza Oktoba 22, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Jina la Morrison limetajwa na Kocha Mkuu wa Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli, kama mmoja wa wachezaji hatari wa Simba SC na anatakiwa kuchungwa sana kwenye michezo yote miwili. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #bernardmorrison#simbasc #hajimanara
Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-1769382496709093/ HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?igshid=3s42x88l3cv1 SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid=1n887zd46t3i8 TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09 @Daily News Digital @Daily News Digital @Daily News Digital
MWENYEKITI wa bodi ya wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji' kupitia mitandao yake ya kijamii ameweka wazi kuwa kambi ya maandalizi ya msimu ujao ya kikosi hicho yatafanyika Marekani. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #modewji #hajimanara #simbasc
KOCHA Mkuu wa Al Ahly ya Misri raia wa Afrika Kusini, Pitso Mosimane, amemfungukia kwa mara ya kwanza aliyekuwa winga wa Simba, Luis Miquissone kuwa ni mchezaji hatari kutokea Afrika kwasasa na ndiyo maana amemsajili kwenye kikosi chake. Luis aliyejiunga na Simba, Januari 2020, akitokea UD Songo ya kwao Msumbiji, mwishoni mwa msimu huu aliachana rasmi na timu hiyo kisha kujiunga na Al Ahly kwa mkataba wa miaka mitatu. Taarifa kutoka nchini Misri, imeeleza kuwa, tangu Luis ajiunge na klabu hiyo amekuwa gumzo kubwa, jambo ambalo limewafanya waandishi wa nchini humo kumuuliza kocha Mosimane juu ya uwezo wake na kujikuta akimmwagia sifa lukuki. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #yangasc #luismiquissone
Kiungo mchezeshaji kutoka nchini Mali, Sadio Kanoute, amejiunga na kambi ya Simba nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22. Kiungo huyo aliyeletwa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Mzambia, Clatous Chama, amesajiliwa na Simba kwa la dola 150,000 (zaidi ya Sh 348Mil) akitokea Al ahly Benghazi ya nchini Libya. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #sadiokanoute #simbasc #usajili
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Modewji #Simbasc #Manara
Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc
Yanga SC, yamsimamisha kazi mlindo mlango wake, Metscha Mnata kufuatia kufanya vitendo visivyo kwa kiungwana. #Metachamnata #Yangasc #Feitoto