Content removal request!


SADIO KANOUTE ATUA MOROCCO/ AANZA MAZOEZI NA WENZAKE/ KUTAMBULISHWA SIMBA SC

Kiungo mchezeshaji kutoka nchini Mali, Sadio Kanoute, amejiunga na kambi ya Simba nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22. Kiungo huyo aliyeletwa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Mzambia, Clatous Chama, amesajiliwa na Simba kwa la dola 150,000 (zaidi ya Sh 348Mil) akitokea Al ahly Benghazi ya nchini Libya. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #sadiokanoute #simbasc #usajili