KOCHA KAZE - "HATUJACHEZA VIZURI DAKIKA ZOTE, SIMBA WAMEBADILIKA SANA, MECHI ILIKUWA NGUMU" DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu ya NBC kati ya SIMBA vs YANGA zimemalizika kwa sare ya bila kufungana... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Mpenja TV leo Novemba 22, 2021 imefanya mahojiano maalumu na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Hassan Bumbuli, ambaye amezungumzia mambo mbalimbali. Bumbuli pia amejibu kuhusu taarifa ya Ofisa Habari wa Geita Gold FC, Hemed Kivuyo, anayedai wametuma barua Yanga wakiomba kujua bei ya kuwanunua baadhi ya wachezaji, Feisal Salum na Mukoko Tonombe. Fuatilia mahojiano haya yakifanywa na Alwatan Abdulazi. #YangaSC #HassanBumbuli #FeisalSalum #MukokoTonombe #MpenjaTV
KICHUYA AWAKA "NIKISEMA TUMEONEWA NITAFUNGIWA MECHI, YANGA TULIWABANA KILA SEHEMU..." 🔴Timu ya Mpenja TV, tupo Uwanja wa Ilulu Lindi kutoa taarifa zote za kabla na baada ya mechi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Namungo FC na Vinara Yanga SC. Nani kuibuka na ushindi?…mambo ni moto moto🔥 Endelea kutufuatilia, tuko tayari kukuhudumia kwa weledi mkubwa. #NamungoFC #YangaSC #NamungovsYanga #MpenjaTV
Katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 kati ya Madagascar na Tanzania uliochezwa Jumapili ya Novemba 14, 2021, nafasi ya Golikipa katika kikosi cha Taifa Stars kilichoanza, alikuwa Metacha Mnata ‘Double M’, ambaye alichukua nafasi ya golikipa namba moja Aishi Manula ambaye alidaiwa kuwa na Corona na Mamlaka za nchi ya Madagascar. Metacha alionesha kiwango bora sana na sisi Mpenja TV tumemsaka atueleze nini siri ya kiwango bora namna ile? Metacha pia amemsifu sana Golikipa wa sasa wa Yanga, Djigui Diarra. #MetachaMnata #TaifaStars #DjiguiDiarra #AishiManula #MpenjaTV
SHAFII DAUDA Afunguka BIFU LAKE na MANARA - "ANAJITETEA kwa KUTUKANA, MIMI Sina ISHU NAE" GLOBAL TV imefanya mahojiano na mchambuzi wa soka, Shafii Dauda, kuhusiana na mwenendo wa ligi kuu msimu huu, lakini pia ameelezea bifu lake na msemaji wa Yanga, Haji Manara... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
🔴#LIVE: SIMBA SC vs YANGA SC ( 0 - 1 ) - DERBY ya KARIAKOO (VPL), UWANJA wa MKAPA.. NI mtanange wa Dakika 90 wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs YANGA, unachezwa leo Julai 03, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati"Tazama Metacha Manata Alivyowatukana Mashabiki wa Yanga "Awaonyesha kidole cha kati" #simbasc #metachamnata #yangasc #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #yangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #simbaleo #ligikuu #chama #miquissone #kisinda #mukoko #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
Yanga SC, yamsimamisha kazi mlindo mlango wake, Metscha Mnata kufuatia kufanya vitendo visivyo kwa kiungwana. #Metachamnata #Yangasc #Feitoto