SIMBA yamshitukia Refa Mpya wa Caf, rekodi zake Mbaya hizi hapaa..
SIMBA yamshitukia Refa Mpya wa Caf, rekodi zake Mbaya hizi hapaa..

#SimbaSC #TPMazembe #SoccerData Klabu ya Simba imelalama baada ya shirikisho la Soka Afrika Caf kufanya mabadiliko ya waamuzi katika mchezo wapili klabu bingwa Afrika kati yake na Tp Mazembe utakaopigwa April 13 mwaka huu. Sababu kuu zilizooanishwa ni sifa za refa huyo, sehemu anayotoka na mabadiliko ya haraka.. Toa maoni yako, je unahisi mabadiliko haya yataiathiri Simba.?



TOP 11: Wachezaji 11 wanaounda kikosi kimoja baada ya Mechi ya Simba vs Tp Mazembe.
TOP 11: Wachezaji 11 wanaounda kikosi kimoja baada ya Mechi ya Simba vs Tp Mazembe.

Simba imetoka sare dhidi ya TP Mazembe katika mechi ya kwanza katika uwanja wa Taifa DSM. SOCCERDATA inakuletea kikosi ya cha MUUNGANIKO baada ya Mechi kutokana na viwango walivyo vionyesha katika mechi hiyo ya kwanza.. Toa maoni yako juu ya kikosi hicho. Pili pendekeza nani awe kocha kati ya Pamphile Kazembe wa TP Mazembe na Patrick Aussems wa Simba. Lakini mfumo wa 4- 4 -2



MSEMAJI wa AS VITA Akizungumza Baada ya Kufungwa
MSEMAJI wa AS VITA Akizungumza Baada ya Kufungwa

MSEMAJI wa AS VITA Akizungumza Baada ya Kufungwa Msimamo wa kundi D hivi sasa unaonesha Al Ahly walioungana na Simba kufuzu wako nafasi ya kwanza wakiwa na alama 10 baada ya kuitandika JS Saoura mabao 3-0 leo. Simba nao baada ya ushindi wa leo wamefanikiwa kumaliza wakiwa nafasi ya pili wakiwa na alama 9 huku Saoura wakiwa nafasi ya tatu na alama 8 pamoja na AS vita wakiwa wa nne na alama 7. Tuanchie maoni yako hapa namna ulivyoyapokea matokea haya na ulivyouona mchezo kwa ujumla.. #SIMBAVsASVITA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



LIVE - MBEYA CITY VS SINGIDA UNITED - UCHAMBUZI KUELEKEA MCHEZO WENYEWE (TPL - 27/02/2019)
LIVE - MBEYA CITY VS SINGIDA UNITED - UCHAMBUZI KUELEKEA MCHEZO WENYEWE (TPL - 27/02/2019)

Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Leo kuna mechi moja pekee itakayowakutanisha Mbeya City vs Singida United kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na utakuwa LIVE #AzamSports2 kuanzia saa 10:00 jioni. Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp



LIVE - TPL BUILD UP: UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA 26/02/2019
LIVE - TPL BUILD UP: UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI ZA LEO LIGI KUU TANZANIA BARA 26/02/2019

Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Leo kuna mechi mbili: Lipuli FC vs Simba SC LIVE #AzamSPorts2 Mtibwa Sugar vs Coastal Union LIVE #AzamSportsHD Mechi zote ni saa 10:00 jioni. Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp



LIVE - TPL BUILD UP: UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI YA AZAM VS SIMBA LIGI KUU TANZANIA BARA 22/02/2019
LIVE - TPL BUILD UP: UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI YA AZAM VS SIMBA LIGI KUU TANZANIA BARA 22/02/2019

Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Mechi ni saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE Azam Sports 2 Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp



HIGHLIGHTS: AZAM FC 0-0 LIPULI FC (TPL - 28/09/2018)
HIGHLIGHTS: AZAM FC 0-0 LIPULI FC (TPL - 28/09/2018)

Azam FC imelazimishwa suluhu na Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa usiku wa Septemba 28, 2018 kwenye dimba la Azam Complex Chamazi. Katika mchezo huo Lipuli FC walionakana kucheza kwa mbinu ya kujilinda zaidi huku wakikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa Azam FC lakini hadi mwisho wa mchezo hapakuwa na bao lolote. Kwa mara ya kwanza leo Donald Ngoma ameanza kuitumikia Azam FC kwenye mechi za Ligi Kuu na amekumbana na matukio haya mawili ambapo moja limezua utata kuwa huenda ilipaswa kuwa penati. Tazama Highlights, kisha toa maoni yako, Je, matukio hayo yalipaswa kuwa penati?



Tazama 'Off-Side' ya utata; Coastal Union1-0 Biashara United (TPL 25/
Tazama 'Off-Side' ya utata; Coastal Union1-0 Biashara United (TPL 25/

Ilikuwa ni free-kick iliyopigwa na Biashara United, na mpira uzama kimiani, lakini mwamuzi wa pembeni akaamua kuwa ilikuwa ni off side. Ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania uliopigwa kwenye dimba la Mkwakwani Jijini Tanga, Agosti 25, mwaka huu. Itazame, kisha toa maoni yako, wewe umeionaje?




« Previous Next »


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Kobe Bryant  #Best Football Defending Skills  #Kyrie Irving  #Best Goals  #Michael Jordan  #Cleveland Cavaliers  #Mesut Ozil  #Mesut Ozil  #Miami Heat  

Popular Users

#RobGronkowski  #b_ryan9  #jtimberlake  #Joey7Barton  #jadande  #nyt4thdownbot  #DeionSanders  #geniebouchard  #JasonDufner  #oldhossradbourn  #Buster_ESPN  #incarceratedbob  #josecanseco  #wizkhalifa