"Haikuwa off-side" - Uchambuzi wa James Samwel na Ally Kamwe kuhusu uamuzi wa off side ya Gerson. Je, wewe nini maoni yako? FT: Simba SC 0-1 JKT Tanzania. #AzamSports2 #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #SimbaSC #SSC #JKTTanzania #SimbaJKT
#BreakingNews Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini. Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78. FT | Sudan 1-2 Tanzania (Agg: 2-2) Toa maoni yako.
HAPPY BIRTHDAY: Tazama golikipa wa Simba Aishi Manula alivyoamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar , wakishinda mabao 2-1 kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Toa maoni yako?
#SimbaSC #TPMazembe #SoccerData Klabu ya Simba imelalama baada ya shirikisho la Soka Afrika Caf kufanya mabadiliko ya waamuzi katika mchezo wapili klabu bingwa Afrika kati yake na Tp Mazembe utakaopigwa April 13 mwaka huu. Sababu kuu zilizooanishwa ni sifa za refa huyo, sehemu anayotoka na mabadiliko ya haraka.. Toa maoni yako, je unahisi mabadiliko haya yataiathiri Simba.?
Simba imetoka sare dhidi ya TP Mazembe katika mechi ya kwanza katika uwanja wa Taifa DSM. SOCCERDATA inakuletea kikosi ya cha MUUNGANIKO baada ya Mechi kutokana na viwango walivyo vionyesha katika mechi hiyo ya kwanza.. Toa maoni yako juu ya kikosi hicho. Pili pendekeza nani awe kocha kati ya Pamphile Kazembe wa TP Mazembe na Patrick Aussems wa Simba. Lakini mfumo wa 4- 4 -2
MSEMAJI wa AS VITA Akizungumza Baada ya Kufungwa Msimamo wa kundi D hivi sasa unaonesha Al Ahly walioungana na Simba kufuzu wako nafasi ya kwanza wakiwa na alama 10 baada ya kuitandika JS Saoura mabao 3-0 leo. Simba nao baada ya ushindi wa leo wamefanikiwa kumaliza wakiwa nafasi ya pili wakiwa na alama 9 huku Saoura wakiwa nafasi ya tatu na alama 8 pamoja na AS vita wakiwa wa nne na alama 7. Tuanchie maoni yako hapa namna ulivyoyapokea matokea haya na ulivyouona mchezo kwa ujumla.. #SIMBAVsASVITA https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Azam Sports 2 iko LIVE muda huu kukuletea uchambuzi Leo kuna mechi moja pekee itakayowakutanisha Mbeya City vs Singida United kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na utakuwa LIVE #AzamSports2 kuanzia saa 10:00 jioni. Matangazo haya yako MBASHARA pia katika chaneli ya #AzamSports2 na AzamTVApp