#SimbaSC #TPMazembe #SoccerData Klabu ya Simba imelalama baada ya shirikisho la Soka Afrika Caf kufanya mabadiliko ya waamuzi katika mchezo wapili klabu bingwa Afrika kati yake na Tp Mazembe utakaopigwa April 13 mwaka huu. Sababu kuu zilizooanishwa ni sifa za refa huyo, sehemu anayotoka na mabadiliko ya haraka.. Toa maoni yako, je unahisi mabadiliko haya yataiathiri Simba.?