'MAHAKAMA' Yaingilia Kati GOLI la 'OFFSIDE' SIMBA "Wamebebwa" HUKU Mashabiki wakidai baadhi ya timu zinabebwa Na waamuzi kwa kupewa mabao ya kuotea ikiwemo Simba, Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT) ambacho kipo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimetoa onyo na kudai watawapiga msasa mkali kabla ya mzunguko wa pili. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?list... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
BAADA ya kupoteza mchezowake wa jana kwa kufungwa mabao 2-1 na Simba, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Ramadhan Nswanzurimo amesema kuwa kinachoiponza Simba kupokea vichapo ikiwa nje kwenye mashindano ya kimataifa ni kubebwa na waamuzi ambao wanashindwa kutafsri sheria 17.#Simba
KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2 KOHA Mkuu wa Mbeya City, Ramadhan Nsanzurwimo amesema kuwa hawajafungwa na Simba bali wamefungwa na waamuzi wa mchezo ambao wameshindwa kutimiza sheria 17. Mbeya City wamepoteza mchezo wa leo kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kutangulia kufunga kipindi cha kwanza kupitia kwa Iddy Nado ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba waliokuwa wakikaba kwa macho. Nsanzurwimo amesema kuwa hajajua sababu ya faulo ya pili ambayo Simba wamepewa licha ya kuutazama mchezo kwa umakini hali iliyofanya wapoteza mchezo wao. "Hii ni kazi ya mtu, sasa kama inatokea mtu mwingine anaiharibu kwa makusudi hii sio sawa, ilikuwa ni lazima tushinde na tulipambana kweli matokeo yake Simba inashinda mabao 2-1 siamini kama nimefungwa na Simba bali nimefungwa na waamuzi. "Najua Simba ni timu kubwa ila haipaswi kupewa kipaumbele kila mara hata kama inakosea, ukitazama mabao yao na namna ambavyo wamefunga sina namna ya kukubali na kuwaomba waamuzi wawe makini wakati mwingine, vijana wangu wamechoka kwa kupambana kisha haki yao inapotea," amesema. Mabao ya Simba ya leo yote mawili yalifungwa kwa kutengenezwa na adhabu ambapo lile la kwanza lilifungwa na Jonas Mkude baada ya Emmanuel Okwi kuchezewa rafu na la pili lilifungwa na Meddie Kagere baada ya Hassan Dilunga kuchezewa faulo. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
KOCHA WA JKT: Waamuzi WAMEIBEBA SIMBA Kocha wa JKT Tanzania ametoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kufuata maelekezo waliyoyafundisha ila ya waamuzi na mchezaji mmoja kupokea kadi nyekundu ndio sababu zilizowagharimu kupoteza mechi hiyo. #JKTTANZANIA www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Baada ya Yanga kuchapwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar,nahodha wa timu hiyiop Ibrahim Ajib amewatupia lawama waamuzi kuwa wamekuwa hawaitendei haki timu yao katika mechi nyingi za Ligi Kuu Bara. Bao la Riphat Khamis dakika ya 52 lilitosha kuipa ushindi Mtibwa Sugar na kuendeleza rekodi yao bora inapocheza nyumbani kwani katika michezo mitano mfululizo iliyopita iliyocheza Morogoro imeshinda yote. Kukataliwa kwa bao lililofungwa na Amissi Tambwe dakika ya 89 ndiko kulisababisha Ajib kutoa ya moyoni ukuhusu waamuzi kuwa wamekuwa hawatendi haki licha ya wachezaji kupambana sana uwanjani kutafuta matokeo. Mwamuzi Hans Mabena wa Tanga alikataa bao hilo baada ya kumuangalia mwamuzi wa pembeni ambaye alinyoosha kibendera kuashiriki mfungaji alikuwa ameotea. "Waamuzi hawachezeshi kwa haki kwani huwa hawako upande wetu mechi nyingi. Kwani tunajitahidi kwa uwezo wetu lakini inaumiza unapambana sana lakini anatokea mwingine anakurudisha nyuma"alisema. Ajib amesema wataendela kupambana katika michezo iliyobaki kwani licha ya wapinzani wao Simba ambao wanawafuukuza wana mechi nyingi hivyo lolote. Kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Meddie Kagere amefunga mabao mawili na kuikoa timu yake isipate kipigo kutoka kwa Coastal Union. Simba ilijikuta ikishangazwa dakika ya kwanza tu baada ya Raizin Hafidhi kuifungia Coastal Union bao kutokana na beki Erasto Nyoni kujichanganya na kipa wake Aishi Manula katika kuokoa mpira huo. Kagere aliisawazishia Simba bao kwa penalti dakika ya 48, penalti iliyotokana na Emmanuel Okwi kuangushwa na kipa wa Coastal Union Sudi Mohammed. Dakika ya 68 Kagere aliipata Simba bao la pili kwa shuti kali akimalizia pasi ya Clatous Chama hivyo kufikisha mabao 16 kwenye ligi na kumfikia kinara Salum Aiyee wa Mwadui FC huku akimzidi bao moja Heritier Makambo wa Yanga mwenye mabao 15.
KUTOKANA na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kufanya mabadiliko ya waamuzi wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba uongozi wa Simba umeandika barua kwa Caf.#DreamOnlineTv #Tanzania #Simba
UONGOZI wa timu ya Simba umetoa tamko baada ya kulalamikia mabadiliko ya ghafla ya waamuzi wa mchezo wa marudiano kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe, utakaochezwa Mjini Lubumbashi Jumamosi ya Aprili 13. #DreamOnlineTv #Manara #simba #Waamuzi
#SimbaSC #TPMazembe #SoccerData Klabu ya Simba imelalama baada ya shirikisho la Soka Afrika Caf kufanya mabadiliko ya waamuzi katika mchezo wapili klabu bingwa Afrika kati yake na Tp Mazembe utakaopigwa April 13 mwaka huu. Sababu kuu zilizooanishwa ni sifa za refa huyo, sehemu anayotoka na mabadiliko ya haraka.. Toa maoni yako, je unahisi mabadiliko haya yataiathiri Simba.?