Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amewasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB,utakaochezwa Saa 2:00 usiku,Uwanja wa Jamhuri.
Pata habari na uchambuzi mbalimbali wa kimichezo, ligi kuu ya soka Tanzania bara, mashindano ya Azam, klabu bingwa barani Afrika, Simba timu pekee ukanda wa CECAFA inawakilisha wakati Yanga wakiwakilisha kwenye michuano ya Shirikisho Afrika. #cafconfiderationcup #sports #football #live #simbasc #nbcpremierleague #africasuperleague #jehova #jesus #christmas #jerusalem #prophetess #bbc #bbcnews #israel #fifaworldcup #fifa #cafchampionsleague #basketball #marathon #online #tbc
DROO YA ROBO FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUFANYIKA LEO. Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara anazungumza na Watanzania kuelekea Droo Ya robo Fainali Kombe la Shirikisho na ligi Ya mabingwa Africa inafanyika leo saa 9:00 Alasiri nchini Misri Ambapo Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga Kwenye ligi ya Mabingwa Afrika huku Manara akiweka wazi nafasi ya Yanga kufuzu Nusu Final kutokana na aina ya mpinzani watakayepangiwa Vilabu ambavyo vimefuzu robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kuna Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania). kombe la Shirikisho Kuna USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali). #manara #yangasc #caf #drooyacaf #hajimanara #manaratv #simbawc #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc #ligikuu #michezo #burudani #tff #nbc #gsm Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia