Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC
Ahmed Ally afunguka ukweli kuhusu Kagoma na Lameck Lawi | Ni aibu Simba ikikosa kufuzu makundi CAFCC

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini Septemba 15, 2024, itakuwa ngumu. Hata hivyo, amesema wamejipanga vyema ili kupata ushindi utakaowaweka katika nafasi nzuri kwa mechi ya marudiano. Pia amesisitiza, itakuwa aibu kubwa endapo timu hiyo itashindwa kufuzu makundi, na kwamba kauli mbiu ya 'Ubaya Ubwela' itawarudia kutokana na matarajio makubwa waliyojiwekea ya kufanikiwa 2024/25. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj



🛑FRIJI BOVU AKOSHWA NA KIWANGO CHA ATEBA NA CHASAMBI HII SIMBA INAWEZA FIKA NUSU FAINALI SHIRIKISHO
🛑FRIJI BOVU AKOSHWA NA KIWANGO CHA ATEBA NA CHASAMBI HII SIMBA INAWEZA FIKA NUSU FAINALI SHIRIKISHO

FRIJI BOVU AKOSHWA NA KIWANGO CHA ATEBA NA CHASAMBI HII SIMBA INAWEZA FIKA NUSU FAINALI SHIRIKISHO #footballclub #simba #simbasc #wasafi #yanga #azamfc #football #globaltvonline #live #millardayo



HIKI NDO KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU HUU/MPANZU NA AHOUA NI BALAA/UBINGWA LAZMA
HIKI NDO KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU HUU/MPANZU NA AHOUA NI BALAA/UBINGWA LAZMA

Baada ya usajili hivi ndivo Simba inavotazamiwa kuanza msimu ujao katika Ligi na Kombe la Shirikisho Afrika ni balaa tupu kwa wapinzani Heavyweight Dullah anatupitisha katika kikosi cha kwanza hicho Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuma ujumbe kwa samba 0626629644 ili uweze kuungwa



ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU
ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU

Mashabiki wa Yanga Sc Leo July 1,2024 wamefanya hamasa ya kuzunguka na kuimba mara baada ya siku ya Leo Timu hiyo kumtambulisha aliekuwa mchezaji wa Simba Sc clatous chota chama.



Penati | Azam FC 5-6 Yanga SC | CRDB Bank Federation Cup - 02/06/2024
Penati | Azam FC 5-6 Yanga SC | CRDB Bank Federation Cup - 02/06/2024

Tazama penati zote zilizopigwa kwenye mchezo wa fainali ya #crdbbankfederationcup kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC. Yanga imeshinda kwa jumla ya penati 6-5 na kutwaa kombe la Shirikisho la CRDB Benki kwa mara ya nne tangu lirejee mwaka 2015. Waliokosa penati kwa Yanga ni Stephane Aziz Ki, Joseph Guede na Ibrahim Abdullah Bacca. Waliokosa kwa Azam FC ni Iddy Nado, Gibril Sillah, Fuentes Mandoza na Lusajo Mwaikenda.




« Previous Next »


Popular Tags

#Football Skills  #Paul George  #Football Defensive Skills  #Lionel Messi  #Best Ball Controls  #Cleveland Cavaliers  #Best Goals  #Zlatan Ibrahimovi  #Tristan Thompson  #Philadelphia 76ers  

Popular Users

#realmadrid  #BringerOfRain20  #JJWatt  #TheChristinaKim  #neymarjr  #rihanna  #elonmusk  #narendramodi  #rogerfederer  #MikePereira  #WWE  #CMPunk  #RobbieSavage8  #SimplyAJ10  #TheCUTCH22