Tazama goli la Namungo FC likiwekwa nyavuni na Reliants Lusajo na kuifanya timu hiyo kuweza kubeba alama tatu kwenye ...
Tazama goli la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Somalia likiwekwa nyavuni na Abdul Sopu ambaye kwa sasa ...
Namungo FC imeicharaza Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Nyamagana, jijini Mwanza. Magoli yote mawili ya Namungo FC yametiwa nyavuni na Shiza Kichuya wakati goli la kufutia machozi kwa Biashara likifungwa kwa ‘free-kick’ na Ambrose Awio.
Mabingwa watetezi wa #NBC premierLeague, Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71.
Goli la Pekee la Mtibwa Sugar likiwekwa nyavuni na Salum Kihimbwa kwa mkwaju wa penati. Comment Like Share Subscribe #highlights #BABADUPDATES #SPORTSUPDATES #ALLSPORTSLIVEHIGHLIGHTS
Mtibwa Sugar imepata ushindi wake wa kwanza leo kwa kuitandika Biashara United mabao 2-0 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Dimba la Manungu, Turian Morogoro. Goli la kwanza kwa Mtibwa ilikuwa ni penati ya Nzigamasabo Styve huku goli la pili likiwekwa nyavuni na Said Ndemla.
Namungo FC imeitandika Ruvu Shooting mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Mabatini mkoani Pwani. Magoli ya Namungo yamefungwa na Reliants Lusajo pamoja na Jacob Masawe huku moja la Ruvu likitiwa nyavuni na Rashid Juma.
Mnyama Simba SC leo amepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Peter Banda dakika ya 9 pamoja na Mzamiru Yassin dakika ya 57 huku goli moja na Geita likitiwa nyavuni na Juma Mahadhi dakika ya 66.