Content removal request!


Biashara United 1-2 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 17/05/2022

Namungo FC imeicharaza Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Nyamagana, jijini Mwanza. Magoli yote mawili ya Namungo FC yametiwa nyavuni na Shiza Kichuya wakati goli la kufutia machozi kwa Biashara likifungwa kwa ‘free-kick’ na Ambrose Awio.