Goli la Hamis Kizza | Kagera Sugar 1-0 Simba | NBC Premier League 26/01/2022
Mabingwa watetezi wa #NBC premierLeague, Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71.