Timu ya Ihefu SC imepata ushindi wa tatu mfululizo ukiwa ndiyo ushindi wake mkubwa zaidi msimu huu kwa kuicharaza Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ulichezwa kwenye Dimba la Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Andrew Simchimba amefunga magoli mawili huku goli la tatu likitiwa nyavuni na Raphael Daud Loth. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu ya Ihefu SC imepata ushindi wa tatu mfululizo ukiwa ndiyo ushindi wake mkubwa zaidi msimu huu kwa kuicharaza Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ulichezwa kwenye Dimba la Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Andrew Simchimba amefunga magoli mawili huku goli la tatu likitiwa nyavuni na Raphael Daud Loth. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Hatimaye Azam FC imepata ushindi wake wa kwanza baada ya mechi saba, ikiichapa Polisi Tanzania bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Desemba 31, 2020 kwenye uwanja wa Ushirika, Moshi. Goli pekee la Azam lilitiwa nyavuni na Ismail Aziz kada dakika ya 88. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC imejiwekea rekodi mpya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushinda mechi saba mfululizo za kwanza mwanzoni mwa msimu baada ya leo kuitandika Ihefu SC mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Aliyepika mabao hayo ni Prince Dube, moja likifungwa na Ayoub Lyanga na lingine likipachikwa nyavuni na Idd Selemani ‘Nado’ . Tazama Highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars BAO la la dakika za usiku lililofungwa na Abubakar Salum 'Sure Boy' limeiwezesha Taifa Stars kuvuna alama tatu katika mchezo wa kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kuifunga Guinea ya Ikweta mabao 2-1. Kikosi kilichanza cha Stars kilikuwa na Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Kelvin Yonda, Hassan Kessy, Bakari Mwamnyeto, Salum Abubakar, Mbwana Samatta, Simon Msuva, Mohamed Hussein, Farid Mussa na Mzamiru Yassin. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Bao la Stars lilifungwa na Simon Msuva dakika 68 baada ya kumzidi ujanja kipa wa Guinea ambaye muda mwingi alionekana kuwa kinara wa kuizuia Stars kufunga na hadi dakika za nyongeza, Sure Boy alipoachia shuti kali lililozama nyavuni na kuipa ushindi Stars mabao 2-1. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania, Simba SC hii leo wameyaanza kwa kishindo mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea visiwani Zanzibar. Ile dozi ya 4G imeanza leo huku Chipukizi FC wakiwa 'wahanga' wa kwanza. Tazama mabao yote ya Simba SC yakiwekwa nyavuni na Meddie Kagere, Nicolaus Gyan na nahodha John Bocco.
Azam FC imeendelea kujivunia alama tatu za ugenini baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Azam FC limewekwa nyavuni na mshambuliaji wao Mzimbabwe, Donald Ngoma dakika ya 40 baada ya kutumia vizuri uzembe wa mabeki wa Kagera Sugar wakiongozwa na Juma Said Nyoso. Katika mchezo huu pia, mshambuliaji wa Azam Fc Donald Ngoma alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 90 baada ya kuonesha utovu wa nidhamu.
Azam FC imeendelea kujivunia alama tatu za ugenini baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Azam FC limewekwa nyavuni na mshambuliaji wao Mzimbabwe, Donald Ngoma dakika ya 40 baada ya kutumia vizuri uzembe wa mabeki wa Kagera Sugar wakiongozwa na Juma Said Nyoso. Hili ndilo bao.