Hatimaye Simba imevunja mwiko wa kutopata ushindi kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar, baada ya leo kuitandika magoli 5-2, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania. Magoli ya Simba yametoka kwa Shomary Kapombe 13', Jean Charles Ahoua 44', Fabrice Ngoma 53, na Stephen Desse Mukwala aliyefunga mawili dakika ya 66 na 85. Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Datius Peter dakika ya 79 na Cleophace Mkandala dakika ya 90. Ilikuwa ni mechi ambayo pia imemshuhudia kwa mara ya kwanza kiungo mpya wa Simba, Ellie Mpanzu aliyecheza kwa takriban dakika 70.
Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.
Yanga imerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, ambapo leo imeshinda 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 50 na Pacome Zouzoua dakika ya 68.
Yanga imerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, ambapo leo imeshinda 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 50 na Pacome Zouzoua dakika ya 68.
Azam FC imeitandika Singida Black Stars mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi..... Magoli ya Azam FC yametoka kwa Feisal Salum na Jhonier Blanco huku Singida wakpata bao lao kupitia kwa Elvis Rupia...
MWANZA: LIONEL Christian Ateba anaipeleka Simba SC mapumziko kifua mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Pamba FC katika mtanange wa NBCPL Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
#yangaleo #simbaleo #live #taifastars #yanga #football #simbasc #simba #agm2024 #wenyenchi ##yanga #football #simbausajili2023na2024 #simbasc #sports #tanzaniafootball #soka #simbavsyanga #trending #taifastars #msuva #yanga #kagoma #fountaingate #football #simbausajili2023na2024 #yanga #worldcup #simbavsyanga #soccer #simbasc #taifastars #usajili #trending #ronaldo #youtubetürkiye #taifastars #yangavsvital #burundi #tplb #tff #bodiyaligi #ligikuu #allykamwe #manara #breaking #kibu #nguvumoja #ubayaubwela #manara #simbaday #yangaday #baleke #azizki #kochampya #kochawasimba #chama #mukwala #usajiliwasimba #uchebe #singidablackstars #kambole #yanga #fifa #usajili #mpanzu #azamvsyanga #yangavsazam #yanga #azamfc #yangasc #feisal #zanzibar #newamaancomplex #caf #simbavsgeitagold #dodomajijivsyanga #dodomajijifcvssimbasc #ihefuvsyanga #crdbfederationcup #nbcpl #yangabingwa #kagerasugarvssimbasc #mtibwavsyanga #simbavsazam #azamfc #simbasc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #simbavsazam #azamfc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #azamvssimba #yangavskagerasugar #simbavstabora #simba #mashujaavsyanga #kigoma #simba #namungovssimba #muunganosupercup #jkttanzania #mechi #jktvsyanga #yanga #kariakooderby #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #eidmubarak #crdbfederationcup #asfc #tff #yangasc #yangavsmamelodisundowns #azamvsyanga #azamfc #simbavsalahly #basata #sanaa #tanzania #barazalasanaatz #simba #caf #pacomeday #wananchi #allykamwe #cafcl #exclusive #morison #vituko #trynottolaugh #mayele #mayeleleo #majini #mwamposa #majiniyamayele #yanganamayele#yangatv #yanga #yangasc #mayele #fistonmayele #simbasc #alahly #simbavsalahly yangavsmamelodi #simbavsalahly #simbascvsalahly #simbaalahly #yalayaahly #alahly #mudaday #mudathir #timuyawananchi #cafclcc #caf #cafcl #yangasc #simba #yangavsmtibwa #simbascvsalahly #highlights #duniampya #kochamkuu #kocha #dullamakabila #zaylisa #trending #trendingstories #entertainment #burudani #mapinduzicup #simba #ahmedally #allykamwe #azamfc #usajili #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #live #soka #yangasc #simbasc #simba #yanga #soka #live #ahmedally #allykamwe #azamfc #chama #usajili #mayele #baleke #usajilimpya #kocha #kochampya #simba #soka #yanga #ahmedally #allykamwe #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #yangabeauty #yangampya #yangascbingwaupdates #yanga #simbanguvumoja #simbasctanzania #simbanagpal #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd #azamfc #wasafimedia #wasafitv #simbasportsclub #simbar #simbaapp #simbasupercup #thisissimba #WenyeNchi #nguvumoja #daimambele #youtubeitalia #youtubeuse #youtubeindia #youtubelife #beautyyoutuber #youtubegamer #youtubebrasil #youtuberp #youtubetürkiye #youtubetürkiye #youtubeblogger #youtuberewind #youtubecommunity #youtubefamily #youtubeblack #jualviewyoutube #smallyoutubers #sub4subyoutube #youtuber #youtubetürkiye #yanga #simba #beautyyoutuber #indianyoutuber #jualviewyoutube #newyoutuber #nguvumoja #simbasc #simbasctanzania #tanzania #taifastars #tff #maroc #morocco #wcqualifiers #caf #soka #cafcl #kochampya #kochawasimba #robertinho #tabulele #simba #soka #yanga #live #ahmedally #chama #allykamwe #azamfc #mayele #usajili #kochampya #kochawasimba #simba #yanga #simbasc #yangasc #soka #nbcpl #kariakooderby #simba #yanga #soka #bwiganetv#bwiganetv #bwiganetv #tpa #sokaletu #bandari #simba #yanga #allykamwe #live #ahmedally #azamfc #chama #mayele #soka #usajili #bwiganetv #soka #tpa #interports #bandari #yanga #yangasc #kochawayanga #mechiyaleo #yangavsazam #magoliyote #azizki #simba #azizki #hattrick #yangavsazam #matchday #mechiyaleo #soka #sokaletu #nbcpl #simba #simbasc #yangasc #azam #azamfc #tpmazembe #esperança #esperance #tpmazembevsesperance #yanga #yangavsazam #yangasc #azamfc #afl #simba #simba #harrmonize #soka #ahmedallySimba SC #simba #afl #simbavsalahly #alahly #wataniwajadi #watani #simbanayanga #simba #yanga #simbasc #yangasc #ahmedally #allykamwe #sokaletu #afrika #afl #alahly #live #soka #simba #chama #yanga #ahmedally #afl #africanfootball ##allykamwe #azamfc #mayele #usajili #simba #live #soka #yanga #afl #afcon #drooyaafcon #ahmedally #barakampenja #upete #azamtv #live #chama #soka #simba #yanga #ahmedally #afl #allykamwe #live #soka #simba #simbasc #sokaletu #mechiyaleo #highlights #magoliyote #matchday #yanga #yangasc ##chama #ahmedally #allykamwe #bwiganetv#simba#yanga#live #tff #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #baleke #kibu #chama #championsleague #sopu #job