Content removal request!


Yanga SC 3-2 Mwadui FC | Highlights | VPL 20/06/2021

YANGA vs MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus. Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz