Content removal request!


Tazama magoli ya Coastal Union ilipoibutua Mwadui FC 5-0 Mkwakwani - VPL 15/07/2021

Magoli ya Abdul Suleiman Sopu, Issa Abushehe, Raizin Hafidh na Mudathir Said yameipa Coastal Union ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC , katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Matokeo haya yamefufua matumaini kwa Coastal Union kusalia ligi kuu baada ya kufikisha pointi 37 katika nafasi ya 14. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz