Baada ya Simba SC kupoteza mchezo dhidi ya Wydad Casablanca katika Dimba la Marrakech nchini Morocco, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Haya ni maoni ya Mashabiki walikuwa wakitizama mchezo huo kupitia Runinga.
Mtangazaji na Mchambuzi wa soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ameuchambua kiundani mchezo wa Oktoba 20,2023 wa African Football League kati ya Simba SC na Al Ahly,utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 12:00 jioni. Pia mzinga ameeleza namna alivyofarijika kuona Ufunguzi wa Michuano hiyo kufanyika Tanzania
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #ahmedally #simbasc #cafcl
#AyoubLakred #SimbaPowerDynamos #SoccerDataUchambuzi je ungependa madini kama Haya yawe yanakufikia kila siku na kwa wingi zaidi? ichangie Soccerdata leo; nami nita ku tag katika Uchambuzi Ujao; TigoPesa: 0710 679 388 Halopesa: 0627 532 401 (Sekwao Mwendi) Mungu akubariki sana
Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74. Haya hapa magoli yote manne...
URGENT NEWS: BIG TRADE CONFIRMED! THE LAKERS NATION CELEBRATES! LOS ANGELES LAKERS NEWS 🏀 Welcome to the Los Angeles Lakers News Channel! We extend a warm welcome to all Lakers fans who are passionate about staying up-to-date with the latest happenings surrounding our beloved team. Our channel is your go-to destination for exclusive news, in-depth analysis, game highlights, player and coach interviews, as well as updates on trades, signings, and Lakers-related events. 🏀 Our team of expert journalists is dedicated to delivering high-quality content that keeps fans well-informed about the team's latest developments. Whether it's discussing the stellar performances of stars like LeBron James and Anthony Davis, analyzing the coach's tactical plans, or providing insights into the team's prospects for the season, we are here to ensure you stay connected and engaged with everything that takes place behind the scenes of the Los Angeles Lakers. 🚨 Join us and never miss a single detail of the exciting journey of our purple and gold team. Go Lakers! #Lakres #LALakers #LosAngelesLakres #LakersNews #newslakers #giannisantetokounmpo