Content removal request!


Magoli | Power Dynamos 2-2 Simba SC | CAF CL | 16/09/2023

Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74. Haya hapa magoli yote manne...