BAADA YA KURUDI YANGA FEISAL AOMBA MSAMAHA, ''AMEWAKOSEA SANA WANANCHI WA YANGA'' ,MSAMAHA MUHIMU
WANANCHI WAMEMSHAURI KIUNGO WA YANGA FEISAL SALUM KUOMBA MSAMAHA MARA BAADA YA KUREJEA NDANI YA TIMU HIYO KUTOKANA NA VITENDO AMBAVYO AMEVIFANYA AMBAVYO SIO VYA KIUNGWANA