ALLY KAMWE USO KWA USO NA BARAKA MPENJA/SOON WANANCHI WATAONA THAMANI YA KENNEDY MUSONDA/MUDATHIR...
ALLY KAMWE USO KWA USO NA BARAKA MPENJA/SOON WANANCHI WATAONA THAMANI YA KENNEDY MUSONDA/MUDATHIR...

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza Maandalizi yao kuelekea Mchezo dhidi ya Rhino Rangers wa Hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Utakaochezwa Kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia amesema Muda si Mrefu Wananchi wataona Thamani ya Mshambuliaji wao Mpya Kennedy Musonda. Ameongeza Kusema Kiungo wao Mpya Mudathir Yahya amekuwa na Impact kuliko Mchezaji yeyote aliyesajiliwa Dirisha Dogo



KOCHA SINGIDA BIG STARS AMPIGIA SALUTI KIUNGO WAKE BRUNO GOMES/"GOLI LAKE NI BORA SANA"
KOCHA SINGIDA BIG STARS AMPIGIA SALUTI KIUNGO WAKE BRUNO GOMES/"GOLI LAKE NI BORA SANA"

Kwenye Uwanja wa CCM Liti Singida,Imechezwa Mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Singida Big Stars dhidi Azam Fc Majira yale ...



Kiungo wa SIMBA SADIO KANOUTE ndiyo kinara wa Kupata kadi za njano Hadi hivi Sasa.

Ana kadi 8 za njano , akifuatiwa na Charles Inlamfia wa MTIBWA SUGAR Mwenye 7 na GEORGE Sangija wa MBEYA CITY Mwenye 7 pia.

Kiungo wa SIMBA SADIO KANOUTE ndiyo kinara wa Kupata kadi za njano Hadi hivi Sasa. Ana kadi 8 za njano , akifuatiwa na Charles Inlamfia wa MTIBWA SUGAR Mwenye 7 na GEORGE Sangija wa MBEYA CITY Mwenye 7 pia.



MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU KIUNGO WA SIMBA ISMAÊL SAWADOGO #simbasc
MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU KIUNGO WA SIMBA ISMAÊL SAWADOGO #simbasc

Baada ya Simba kutangaza kutambulisha usajili wa Nyota Ismaël Sawadogo tumeona tukusogezee baadhi ya vitu ambavyo pengine bado hujavijua kuhusu Nyota huyu na Pengine haviongelewi Sana Kuwasiliana na 255Futball wasiliana na sisi kwa namba 0626629644 kwaajili ya matangazo au kutoa sapoti yako yoyote kuelekea Mabadiliko mapya #simbasc #simba #usajili #nguvumoja #soka #sftv #255futball #simbasctanzania



🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI
🔴LIVE: DEAL DONE: SIMBA WASHUSHA KIUNGO KUTOKA DIFAA EL JADIDA ISMAEL SAWADOGO ASAINI MIAKA MIWILI

Klabu ya Simba imemtangaza Kiungo Mpya Raia wa Burkinafaso kutoka Difaa El Jadida Ismael Sawadogo baada ya kusaini Mkataba wa Miaka miwili akitokea nchini Morocco. Kiungo huyo atawasili nchini kesho Jumapili Alfajiri na atasubiri kujiunga na kikosi kitakapowasili Jumanne kutokea Dubai.




« Previous Next »


Popular Tags

#Zlatan Ibrahimovi  #Paul George  #Shaquille O'Neal  #Best Football Defending Skills  #Gareth Bale  #Lionel Messi  #Best Goals  #Golden State Warriors  #Luis Suarez  #Ronaldinho  

Popular Users

#serenawilliams  #itsBayleyWWE  #NASA  #SimplyAJ10  #DwyaneWade  #richarddeitsch  #katyperry  #BMcCarthy32  #obj  #steveaustinBSR  #MariaSharapova  #UKCoachCalipari  #DanicaPatrick  #OleksiakPenny  #josecanseco