Klabu ya Simba imemtangaza Kiungo Mpya Raia wa Burkinafaso kutoka Difaa El Jadida Ismael Sawadogo baada ya kusaini Mkataba wa Miaka miwili akitokea nchini Morocco. Kiungo huyo atawasili nchini kesho Jumapili Alfajiri na atasubiri kujiunga na kikosi kitakapowasili Jumanne kutokea Dubai.
Share, Support, Subscribe!!! Twitter: http://www.twitter.com/vimbamedia Facebook: http://www.facebook.com/vimbamedia ...