“Kocha ameshatoa mapendekezo yake, lakini ni tofauti na wengi walivyokuwa wanafikiri kwani amesema apewe angalau wachezaji wawili wa kimataifa kwenye dirisha hili, lakini wawe ni wale ambao atawatumia kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, yaani hataki asajiliwe mchezaji ambaye hatatumika kwa msimu huu. “Anasema tageti yake kubwa ni kufika kuanzia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuendelea, hivyo itakuwa haina maana kama atasajiliwa mchezaji ambaye tayari ametumika msimu huu,” kilisema chanzo hicho. Kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, mchezaji akiwa ameshatumika kwenye michuano ya CAF msimu huu akisajiliwa na klabu nyingine inayoshiriki michuano hiyo, basi hatakuwa na nafasi ya kutumika tena kwa msimu husika. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #usajilisimbasc #simbasc #ahmedally
Azam FC wamecheza Mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan,katika Uwanja wa Azam Complex chamazi. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 1-1.
Wananchi wamefika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kumpokea msanii kutoka kundi la KKL BOMOKO nchini Congo DR anayetamba na kibao cha "Tabulele", kwa ajili ya hamasa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, @yangasc dhidi ya Al Ahly siku ya Novemba 2, 2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Baada ya kusubiri sana hatimaye Mwamba ndani ya nyumba, ndani ya Jiji kubwa la Kibiashara la Dar Es Salaam, anasema Yanga kwake ni zaidi ya timu, imempa thamani kubwa.
Leo Novemba 21 Timu ya Yanga SC wameianza safari kuelekea Nchini Algeria kupiti Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Kwende kuminyana na CR Belouizdad siku ya Novemba 24 Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mpenja Tv tunakusogezea matukio yote kutoka hapa Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
TAZAMA SKUDU MAKUDUBELA ALIVYOINGIA KUCHEZA MECHI YAKE YA KWANZA YANGA YA KIMATAIFA