Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo, mabingwa hao watetezi wanajiongezea pointi moja na kufikisha 27 baada ya kucheza mechi 12, wakiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 29 za mechi 11 na vinara, Azam FC wenye pointi 33 za mechi 13. Kwa Lipuli FC inayofundishwa na Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola sare ya leo inawafanya wafikishe pointi 13 katika mechi ya 14, wakiwa bado katika eneo la hatari la kushuka daraja, nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu ya timu 20. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni, Paul Bukaba/James Kotei dk39, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Shiza Kichuya/Haruna Niyonzima fk75, Cloutus Chama, Meddie kagere, John Bocco na Hassan Dilunga/Rashid Juma dk46. Lipuli FC; Mohamed Yussuph, William Lucian ‘Gallas’, Paul Ngelema, Ibrahim Job/Novaty Lufunga dk62, Ally Sonso, Freddy Tangalu, Steven Mganga, Mussa Nampaka/Shaaban Ada dk66, Paul Nonga, Zawadi Mauya na Miraji Athumani.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MATUMAINI ya Tanzania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwakani yameanza kufifia tena baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, Lesotho jioni ya leo Uwanja wa Setsoto mjini Maseru. Bao lililoizamisha Taifa Stars leo limefungwa na beki wa klabu ya Matlama Maseru, Nkau Lerotholi dakika ya 76 kwa kichwa akimalizia mpira wa kona kutoka upande wa kulia. Kwa matokeo hayo, sasa timu yoyote kati ya tatu, Lesotho, Tanzania na Cape Verde zinaweza kuungana na vinara wa kundi hilo, Uganda kwenda Cameroon katikati ya mwaka ujao. Mamba wa Lesotho wanapanda nafasi ya pili baada ya kufikisha pointi tano sawa na Tanzania, wakati Cape Verde inashika mkia kwa pointi zake nne. Kikosi cha Lesotho kilikuwa; Samuel Khetsekile, Mafa Moremoholo, Basia Makepe, Bokang Sello, Tsoarelo Bereng/Hlompho Kalake dk71, Tsepo Toloane, Thapelo Tale/Sera Motebang dk51, Sepiriti Malefane, Jane Thaba-Ntso/Jane Tsotleko dk70, Tumelo Khutlang na Nkau Lerotholi. Tanzania; Aishi Manula, Abdallah Kheri/John Bocco dk83, Ally Sonso, Aggrey Morris, Kelvin Yondan, Erasto Nyoni, Mudathir Yahya/Feisal Salum ‘Fei Toto’dk73, Himid Mao, Simon Msuva, Shaaban Iddi Chilunda na Gardiel Michael/Shiza Kichuya dk59. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
#PATRICKAUSSEMS #SIMBAVSRUVUSHOOTING KOCHA SIMBA Afungukia Ushindi/Akataa Kumuongelea Mchezaji mmoja 1 Mchezo kati ya Ruvu Shooting Umemalizika muda huu uwanja wa taifa ulianza saa 1:00 Usiku, mshambuliaji Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza dakika ya 7 akipokea pasi kutoka kwa Shomari Kapombe. Dakika ya 23 Simba wanapata bao la 2 linalofungwa na Meddie Kagere baada ya Shiza Kichuya kupiga kona iliyogonga mwamba ikakutana na Kagere akafunga bao la 2. Claytous Chama anamtengenezea pasi nzuri Emmanuel Okwi anandika bao la tatu dakika ya 56. Emmanuel Okwi anapokea pasi dakika ya 78 na kuandika bao la nne. Adam Salamba anaandika bao la tano akipokea pasi kutoka kwa Hassan Dilunga dakika ya 89. Ruvu Shooting 0-5 Simba, dk ya 90 Uwanja wa Taifa. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
#OKWI #RUVUSHOOTINGVSSIMBA OKWI Amwagiwa Mihela na Mashabiki/Askari Amrudisha Mara 2 Mchezo kati ya Ruvu Shooting Umemalizika muda huu uwanja wa taifa ulianza saa 1:00 Usiku, mshambuliaji Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza dakika ya 7 akipokea pasi kutoka kwa Shomari Kapombe. Dakika ya 23 Simba wanapata bao la 2 linalofungwa na Meddie Kagere baada ya Shiza Kichuya kupiga kona iliyogonga mwamba ikakutana na Kagere akafunga bao la 2. Claytous Chama anamtengenezea pasi nzuri Emmanuel Okwi anandika bao la tatu dakika ya 56. Emmanuel Okwi anapokea pasi dakika ya 78 na kuandika bao la nne. Adam Salamba anaandika bao la tano akipokea pasi kutoka kwa Hassan Dilunga dakika ya 89. Ruvu Shooting 0-5 Simba, dk ya 90 Uwanja wa Taifa. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao matatu katika katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani usiku wa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo ulionakshiwa na mabao mengine mawili ya Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere na mzawa, Adam Salamba, #SimbaSC inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 10, ikiendelea kuwa nyuma ya Azam FC inayoongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 27 za mechi 11. Okwi aliifungia Simba SC bao la kwanza dakika ya saba akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Shiza Ramadhani Kichuya. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC #YANGASC #LIGIKUU
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao matatu katika katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani usiku wa leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo ulionakshiwa na mabao mengine mawili ya Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere na mzawa, Adam Salamba, Simba SC inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 10, ikiendelea kuwa nyuma ya Azam FC inayoongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 27 za mechi 11. Okwi aliifungia Simba SC bao la kwanza dakika ya saba akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Shiza Ramadhani Kichuya. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #RuvuShooting #Simbasc
#RUVUSHOOTINGVSSIMBA MAGOLI Yote ya SIMBA VS RUVU SHOOTING 5-0 Mchezo kati ya Ruvu Shooting Umemalizika muda huu uwanja wa taifa ulianza saa 1:00 Usiku, mshambuliaji Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza dakika ya 7 akipokea pasi kutoka kwa Shomari Kapombe. Dakika ya 23 Simba wanapata bao la 2 linalofungwa na Meddie Kagere baada ya Shiza Kichuya kupiga kona iliyogonga mwamba ikakutana na Kagere akafunga bao la 2. Claytous Chama anamtengenezea pasi nzuri Emmanuel Okwi anandika bao la tatu dakika ya 56. Emmanuel Okwi anapokea pasi dakika ya 78 na kuandika bao la nne. Adam Salamba anaandika bao la tano akipokea pasi kutoka kwa Hassan Dilunga dakika ya 89. Ruvu Shooting 0-5 Simba, dk ya 90 Uwanja wa Taifa. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Juuko Murshid/Paul Bukaba dk 87, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Clatous Chama, Meddie Kagere/Hassan Dilunga dk 66, John Bocco na Emmanuel Okwi/Adam Salamba dk83. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars