matokeo ya kichuya aliyoyapata katika team yake mara baada ya kutua misri
Klabu ya Simba imemuuza mchezaji wake Shiza Ramadhan Kichuya kwa timu ya Pharco ya nchini Misri. Kipindi hiki kinakupa ladha mbalimbali za mchezaji huyo tangu ajiunge na Simba miaka miwili iliyopita huku Afisa Mtenda Mkuu wa Simba akifafanua sababu za kumtoa mchezaji huyo kwenda kwenye timu ambayo inashiriki ligi daraja la pili. Kipindi hiki pia kimeangazia kwa kina safari ya timu ya Simba nchini Misri ambako ilikwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #SimbaTV ni kila Jumamosi saa 3:30 usiku #AzamSports2
Kichuya Zana wamuokoa Kocha wa Simba SC Patrick dhidi ya Singida United #MagoliYaKichuyaVsSingidaUnited #SimbaSCvsSingidaUnited #KochaWaSimbaSCPatrick No Copyright issue. CHANNEL LINKS for royality free musics are:- Somewhere in Nature by Simon More https://soundcloud.com/user-73416670 Creative Commons - Attribution 3.0 Unported - CC BY 3.0 http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Music promoted by Audio library https://youtu.be/Juena1vPUhQ
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wameendeleza ubabe kwa Singida United baada ya leo kuishushia kipigo cha mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa usiku wa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliokuwa na burudani ya aina yake kwa timu zote kushambuliana kwa zamu, Simba ilianza kujipatia bao la kwanza dakika ya 18 kupitia kwa Nahodha John Bocco aliyemalizia vema pasi ya Shiza Kichuya na kufanya kipindi cha kwanza kimalizike kwa Simba kuwa mbele kwa bao 1-0. Kipindi cha pili kilianza kwa Simba kuzidisha mashambulizi licha ya Singida kupoteza nafasi kadhaa, na Shiza Kichuya kuibuka shujaa kwa kufunga mabao mawili dakika ya 49 na 55 magoli yote akitumia pasi za Clatous Chama. Ushindi huo unaifanya Simba ijiongezee pointi tatu na kufikisha pointi 33 ikiendelea kusalia katika nafasi yake ya tatu nyuma ya Azam yenye pointi 40 na Yanga yenye pointi 50 kileleni.
GOLI LA MKUDE SIMBA VS NKANA 3- 1 Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #MKUDE Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
KOCHA wa NKANA Ataja Goli la SIMBA Ililokuwa OFFSIDE Ni kama Simba wanawaambia wapinzani wao 'Soma hiyooo' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. #SIMBAVSNKANA #VIKOSIVYASIMBA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Unaweza kusema ni 'Mwendo Mdundo kwa Simba' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars