#PATRICKAUSSEMS #SIMBAVSRUVUSHOOTING KOCHA SIMBA Afungukia Ushindi/Akataa Kumuongelea Mchezaji mmoja 1 Mchezo kati ya Ruvu Shooting Umemalizika muda huu uwanja wa taifa ulianza saa 1:00 Usiku, mshambuliaji Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza dakika ya 7 akipokea pasi kutoka kwa Shomari Kapombe. Dakika ya 23 Simba wanapata bao la 2 linalofungwa na Meddie Kagere baada ya Shiza Kichuya kupiga kona iliyogonga mwamba ikakutana na Kagere akafunga bao la 2. Claytous Chama anamtengenezea pasi nzuri Emmanuel Okwi anandika bao la tatu dakika ya 56. Emmanuel Okwi anapokea pasi dakika ya 78 na kuandika bao la nne. Adam Salamba anaandika bao la tano akipokea pasi kutoka kwa Hassan Dilunga dakika ya 89. Ruvu Shooting 0-5 Simba, dk ya 90 Uwanja wa Taifa. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho