Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo, mabingwa hao watetezi wanajiongezea pointi moja na kufikisha 27 baada ya kucheza mechi 12, wakiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 29 za mechi 11 na vinara, Azam FC wenye pointi 33 za mechi 13. Kwa Lipuli FC inayofundishwa na Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola sare ya leo inawafanya wafikishe pointi 13 katika mechi ya 14, wakiwa bado katika eneo la hatari la kushuka daraja, nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu ya timu 20. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni, Paul Bukaba/James Kotei dk39, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Shiza Kichuya/Haruna Niyonzima fk75, Cloutus Chama, Meddie kagere, John Bocco na Hassan Dilunga/Rashid Juma dk46. Lipuli FC; Mohamed Yussuph, William Lucian ‘Gallas’, Paul Ngelema, Ibrahim Job/Novaty Lufunga dk62, Ally Sonso, Freddy Tangalu, Steven Mganga, Mussa Nampaka/Shaaban Ada dk66, Paul Nonga, Zawadi Mauya na Miraji Athumani.
USAJILI WA PACOME KUJA SIMBA, AHMED ALLY AFUNGUKA UKWELI WOTE, TSHABALALA ANAKWENDA YANGA? : : SIMBA NA YANGA MECHI YA DERBY DERBY YA KARIAKOO KUFUNGWA KWA KANISA LA GWAJIMA JOSEPHAT GWAJIMA MBUNGE WA KAWE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA RAIS SAMIA SULUHU JAKAYA KIKWETE WAZIRI MKUU MAJALIWA CCM DODOMA FAINALI YA BERKANE VS SIMBA UWANJA WA AMANI ZANZIBAR WAARABU MOROCCO WAIPIGIA SALUTI SIMBA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA #shorts #viralshorts #simbasc #simbavsrsbeekane #amanizanzibar #uwanjawaamani #benjaminmkapa #eliempanzu #yanga #yangasc #cafchampionleague #cafconfiderationcup #rsberkane #uwanjawamkapa #simbavsyanga #millardayo #globaltvonline #ayomatv #jambotv #wasafi #wasafitv #wasafimedia #wasafifm #ahmedally #cloudsfm #jeancharlesTelegram: Karibu upate Habari za uhakika hapa Champion Habari Habari za Siasa | Kijamii | Michezo | Burudani na Uchambuzi. WASILIANA NASI +255 655 100 695 Email: championhabari@gmail.com Follow us Instagram: championhabari Instagram:https://www.instagram.com/champion_habari?igsh=MXF5aWNqaWFqdXVjbA==
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Mchezo wa kilele cha Wiki ya Mwananchi kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya vigogo ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika ...