Mwamuzi mstaafu wa soka Osman Kazi ameondoa utata wa maamuzi kwenye matukio yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC uliopigwa Oktoba 19, 2024.
KARIAKOO DERBY | Goli pekee la kujifunga kupitia kwa Kelvin Kijili, limeipa Yanga pointi tatu muhimu katika mchezo wa Kariakoo Derby, #NBCPremierLeague , ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Tazama highlights....
livestreaming #chama #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv@gmail.com Contact : +255 716 051 853
KARIAKOO DERBY | Goli pekee kutoka kwa Maxi Nzengeli dakika ya 44 limewapeleka Yanga fainali ya #NgaoYajamii2024 wakiwafunbga Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Dimba la Benjamin Mpaka, Dar es Salaam
Mchambuzi na Mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja ametoa mtazamo wake kuhusu nusu fainali ya Ngao ya Jamii ya Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Agosti 8, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku akisisitiza dabi hiyo huwa haitabiriki, lakini anaona itaamuliwa na eneo la kiungo. Hata hivyo, Mpenja amesema wachezaji wapya watano au sita waliosajiliwa msimu huu na Simba wanaweza kuanza kikosi cha kwanza, lakini kwa upande wa Yanga haoni mabadiliko makubwa kwani kikosi kinaweza kuwa kile kile, huku akimpa Prince Dube nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza cha timu hiyo. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
#livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)