#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- 🏆 Mfungaji bora wa Msimu 🏆 Mchezaji bora wa Msimu 🏆 Mchezo bora chipukizi wa Msimu. 🏆 Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania
KUTOKA ISMAILIA: “Mwaka jana Fadlu alikuwa ni mgeni lakini mwaka huu ameshakuwa mwenyeji na ameshajua karibu wachezaji wote” Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola amesema ushindani ni mkubwa ndani ya kikosi hicho kwasababu kila mchezaji anataka kuonesha uwezo wake. Matola pia ametoa ratiba ya kikosi hicho watakapofika jijini Cairo. Mchezaji Saleh Karabaka anasema kuingia kwenye maji yenye barafu ni shughuli nzito kwake, ni lazima pawepo watu watatu kumshika. Wachezaji wengine waliozungumzia maendeleo ya kambi hiyo ni pamoja na Bajaber Mohamed, Morice Abraham pamoja na Hussein Abel ambaye amefichua namna wachezaji ‘walivyoamka’ kambini. #Simba
livestreaming #chama #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv@gmail.com Contact : +255 716 051 853
#livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)

#livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad The Official YouTube Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv@gmail.com Contact : +255 747 384 250